mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
mimi ni mshabiki wa SIMBA!!!,,,ila hili jambo ata ROSTAM AZIZ alishawai kusema!!!,,,kesi inaweza kuwa MAHAKANI,lakini ikapigwa simu kutoka OFISI MOJA ILIYO KILELENI MWA OFISI ZOTE na maamuzi yakapindishw!!!!,,,,,so MAFISADI wa UTOPOLO wameshinda kesi kwa vile jana UTO kamfunga mnyama!!!....ok,ok,ok inaelekea maamuzi yalishaamuliwa HOTELINI wakati wa hafla ya ushindi,,,,ila nilijua tu!! nilipoona mawakili wake hawajahudhuria mahamani wiki ilopita nikajua "basi tena"...........ila marehemu BANZA STONE alipata kuimba hivi "m2 mwenye pesa anaweza kuhamisha milima na mabonde,ila hawezi ishi milelee,aka hawezi kukishnda KIFO!!" da mzee wa wa2 atalazimika kuuza mashamba yake yote uzaramuni na vijumba vyake vya mbagala na buza""" da!!! sidhani kama atamaliza mwaka huu bila kufa PRESSURE!!!!....da!!!! pesa noma ata YUDA ISKARI YOTI,alivuta mkwanja kwa MAYAHUDI na kumgeuka YESU KRISTO..."pesa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee"Mzee Magoma ameshindwa kesi thidi ya Yanga CS ,hukumu imetoka leo 9 August katika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu ambapo Magoma ametakiwa kuilipa fidia Yanga . Amezungumza hayo meneja mawasiliano na habari wa Yanga Ali kamwe leo baada ya kutoka mahakamani na kushinda kesi hiyo.View attachment 3065298
heeeeeee samahani mkuuu kwani rostam azizi amekuwa marehemu lini tena naona umeandika hapo juumimi ni mshabiki wa SIMBA!!!,,,ila hili jambo ata marehemu ROSTAM AZIZ alishawai kusema!!!,,,kesi inaweza kuwa MAHAKANI,lakini ikapigwa simu kutoka OFISI MOJA ILIYO KILELENI MWA OFISI ZOTE na maamuzi yakapindishw!!!!,,,,,so MAFISADI wa UTOPOLO wameshinda kesi kwa vile jana UTO kamfunga mnyama!!!....ok,ok,ok inaelekea maamuzi yalishaamuliwa HOTELINI wakati wa hafla ya ushindi,,,,ila nilijua tu!! nilipoona mawakili wake hawajahudhuria mahamani wiki ilopita nikajua "basi tena"...........ila marehemu BANZA STONE alipata kuimba hivi "m2 mwenye pesa anaweza kuhamisha milima na mabonde,ila hawezi ishi milelee,aka hawezi kukishnda KIFO!!" da mzee wa wa2 atalazimika kuuza mashamba yake yote uzaramuni na vijumba vyake vya mbagala na buza""" da!!! sidhani kama atamaliza mwaka huu bila kufa PRESSURE!!!!....da!!!! pesa noma ata YUDA ISKARI YOTI,alivuta mkwanja kwa MAYAHUDI na kumgeuka YESU KRISTO..."pesa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee"
sorry kumbe hajafa...lakini alisemaheeeeeee samahani mkuuu kwani rostam azizi amekuwa marehemu lini tena naona umeandika hapo juu
Hujui mahakama inavyoendeshwa...... mtu akikushtaki ukashinda kesi, hakimu anakuuliza kama utataka lipwa gharama za kesi, ukikubali basi anaweka kwenye hukumu, ukikataa pia anaweka hautoleta hilo ombi baadae.Sasa analipa fidia kiasi gani?
mbona kama maneno ya kwenye dera
Pumba tupumimi ni mshabiki wa SIMBA!!!,,,ila hili jambo ata ROSTAM AZIZ alishawai kusema!!!,,,kesi inaweza kuwa MAHAKANI,lakini ikapigwa simu kutoka OFISI MOJA ILIYO KILELENI MWA OFISI ZOTE na maamuzi yakapindishw!!!!,,,,,so MAFISADI wa UTOPOLO wameshinda kesi kwa vile jana UTO kamfunga mnyama!!!....ok,ok,ok inaelekea maamuzi yalishaamuliwa HOTELINI wakati wa hafla ya ushindi,,,,ila nilijua tu!! nilipoona mawakili wake hawajahudhuria mahamani wiki ilopita nikajua "basi tena"...........ila marehemu BANZA STONE alipata kuimba hivi "m2 mwenye pesa anaweza kuhamisha milima na mabonde,ila hawezi ishi milelee,aka hawezi kukishnda KIFO!!" da mzee wa wa2 atalazimika kuuza mashamba yake yote uzaramuni na vijumba vyake vya mbagala na buza""" da!!! sidhani kama atamaliza mwaka huu bila kufa PRESSURE!!!!....da!!!! pesa noma ata YUDA ISKARI YOTI,alivuta mkwanja kwa MAYAHUDI na kumgeuka YESU KRISTO..."pesa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee"
mm sijui ndo maana nimeshangaa umeandika hapo inabid ufute ndugu patakuletea matatizosorry kumbe hajafa...lakini alisema
Nilipoona neno ATA badala ya HATA, nikasema marehemu NGADA FC alijinunulia SANDA mwenyewe, SANDA of all times, amepaniki, maana si ngao ya jamii pekee, bali hata MAGOMA CUP nayo kaikosa. Hii hadithi yako ni kwamba 5+2+1 = 8 ambayo ni nanenane day.mimi ni mshabiki wa SIMBA!!!,,,ila hili jambo ata ROSTAM AZIZ alishawai kusema!!!,,,kesi inaweza kuwa MAHAKANI,lakini ikapigwa simu kutoka OFISI MOJA ILIYO KILELENI MWA OFISI ZOTE na maamuzi yakapindishw!!!!,,,,,so MAFISADI wa UTOPOLO wameshinda kesi kwa vile jana UTO kamfunga mnyama!!!....ok,ok,ok inaelekea maamuzi yalishaamuliwa HOTELINI wakati wa hafla ya ushindi,,,,ila nilijua tu!! nilipoona mawakili wake hawajahudhuria mahamani wiki ilopita nikajua "basi tena"...........ila marehemu BANZA STONE alipata kuimba hivi "m2 mwenye pesa anaweza kuhamisha milima na mabonde,ila hawezi ishi milelee,aka hawezi kukishnda KIFO!!" da mzee wa wa2 atalazimika kuuza mashamba yake yote uzaramuni na vijumba vyake vya mbagala na buza""" da!!! sidhani kama atamaliza mwaka huu bila kufa PRESSURE!!!!....da!!!! pesa noma ata YUDA ISKARI YOTI,alivuta mkwanja kwa MAYAHUDI na kumgeuka YESU KRISTO..."pesa oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee"