Mzee Magoma ashindwa kesi ametakiwa kuilipa Yanga Sc zaidi ya Milioni 70

Mkuu Rostam aziz ni marehemu?
 
Kolo-witch craps
 
😂
 
Washamfanyia figisu Mzee Magoma. Lakini atashinda tu Inshaallah. Akakate rufaa
 
Hivi kulikuwa kuna ulazima kweli wa kuandika haya maneno yote!! Marehemu Rostam Aziz aliwahi kusema...!! 😀
 
Hakuna kesi yoyote Magoma ameshindwa bali pingamizi lake ndiyo limetupwa lakini shauri la msingi hata halijaanza kusikilizwa,ngoma bado mbichi kabisa na mzee wa Kurjuan.
Kwahiyo huko kutupwa kwa pingamizi huoni kama kashindwa kwenye pingamizi? Mbumbumbu FC mna changamoto ya UMBUMBUMBU, na hii inatoka na kuwa kwenye NGADA FC.
 
Nimekuuliza, kushindwa kwa pingamizi lake, huoni huko nako ni kushindwa?
 
Hakuna kushindwa hapo kwa sababu unakuwa umepata ruhusa tu ya ombi lako,muhimu ni hiyo rufaa unayokwenda kukata je utashinda?
Gharama anazotakiwa kulipa ni kwa sababu gani?
 
Wewe ni mshabiki wa Simba unayepata maumivu makali sana kipindi hiki Yanga ikiongozwa na GSM ulitamani Yanga irudi enzi za kupitisha bakuli ili timu yako ya Simba itawale kama mlivyofanya kwa Manji. Mo kasema kainunua Simba hampigi kelele kuinusuru timu yenu ya Simba kwa Mo mnakuja kujifanya mnaipigania haki Yanga na vinyimbo vyenu vya mipasho. Pambaneni na Yanga ikiwa ipo vyema kiuchumi acheni janja janja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…