Mzee Magoma: Manara alikuwa mlevi

Mzee Magoma: Manara alikuwa mlevi

Hii ni mashine moja tu inaitwa Magoma, akija Mwaipopo je? Inasemekana Mwaipopo ni machachali sana, Magoma anasubiri.

Katika mahojiano yake na Sports HQ, Magoma amesema kwamba Haji Manara wakati akiishi Magomeni, alikuwa analewa mpaka anadondoka, anapata madonda, na pia akilewa alikuwa anajibinua kama lori la mchanga....., sasa sijamuelewa Mzee Magoma, Manara alikuwa anajibinua masaburi amaa alikuwa na lengo gani kujibinua!!!!, hawa wazee wa siku mingi wana siri nyingi!

Hakika hii vita imenoga......

#HersiMustGo.

Wewe mpuuzi, mbona katika clip hiyo unayoyaandika hayamo?
 
Hii ni mashine moja tu inaitwa Magoma, akija Mwaipopo je? Inasemekana Mwaipopo ni machachali sana, Magoma anasubiri.

Katika mahojiano yake na Sports HQ, Magoma amesema kwamba Haji Manara wakati akiishi Magomeni, alikuwa analewa mpaka anadondoka, anapata madonda, na pia akilewa alikuwa anajibinua kama lori la mchanga....., sasa sijamuelewa Mzee Magoma, Manara alikuwa anajibinua masaburi amaa alikuwa na lengo gani kujibinua!!!!, hawa wazee wa siku mingi wana siri nyingi!

Hakika hii vita imenoga......

#HersiMustGo.

Hiyo michezo ya kulewa na kujibinua angeifanya maeneo yetu ya uswahilini hadithi ingekuwa imeshabadilika lakini ninavyoijua magomeni ya kipindi hicho sijui kama kijana hakuchezea bakora.
Ngoja niwatafute wakongwe wa magomeni nipate habari za Haji
 
sijui km alipona km Wazee wenyewe wa Migo Migo ndo akina Julio Pereira
 
Back
Top Bottom