Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu Majuto kama anaumwa kila siku, anapataga wapi muda wa kufanya matangazo ya Neel Salt?Muigizaji na mchekeshaji wa siku nyingi, Amri Athuman maarufu Mzee Majuto, amelazwa tena katika Hospitali ya Tumaini jijini Dar es Salaam, baada ya kuzidiwa.
Mke wa mwigizaji huyo, Aisha Yusufu, ameiambia MCL Digital leo Aprili 23 kwamba mume wake walimpeleka hospitalini hapo leo saa 7:00 mchana.
Aisha amesema kidonda alichofanyiwa upasuaji kimeleta shida, hivyo kumpeleka kwa ajili ya uangalizi zaidi.
Majuto alilazwa hospitalini hapo Januari mwaka huu na kufanyiwa upasuaji wa tezi dume.
Source: Mwananchi
You are in my TalksKukumis tu..
Hivi huyu Majuto kama anaumwa kila siku, anapataga wapi muda wa kufanya matangazo ya Neel Salt?
Mkuu kwani unafikiri tangazo linakuwa Mubashara kama taarifa ya habariHivi huyu Majuto kama anaumwa kila siku, anapataga wapi muda wa kufanya matangazo ya Neel Salt?
unamkusudia nanii wewe, nanii...wajina wake anaishi mbugani, bisha??Huyu ndio wa kumpeleka india sio yule wa jumba la dodoma
Kikwete alisema ataenda kuongea na mzee wa Magogoni...Nilisikia Kikwete kamuahidi kumpeleka India, imefikia wapi?
Pole sana mzee majuto.
Wewe..!!tezi dume ukifanyiw aupasuaji bongo jihesabie miaka michache tu, lazima uende
Namfahamu mtu ana miaka kumi sasa tangu afanyiwe. Na yuko fititezi dume ukifanyiw aupasuaji bongo jihesabie miaka michache tu, lazima uende
Pole mzee wa nil saltDar es Salaam. Muigizaji na mchekeshaji wa siku nyingi, Amri Athuman maarufu Mzee Majuto, amelazwa tena katika Hospitali ya Tumaini jijini Dar es Salaam, baada ya kuzidiwa.