Mzee Majuto azidiwa tena na kurejeshwa kulazwa Hospitalini

Mzee Majuto azidiwa tena na kurejeshwa kulazwa Hospitalini

tezi dume ukifanyiw aupasuaji bongo jihesabie miaka michache tu, lazima uende
Acha uwongo man. Wanapona vizuri tu. Sema ndio vile tena usijifanye uku tamu kule tamu. Lazma uumwe tena. Huu ugonjwa inabidi ufanye check up mapema. Maana ukijisahau kunauvimbe flani ni rahisi sana kuleta cancer, na cancer ikishaanza huwezi kufanya operation tena. Hivyo utajikuta unaishi kwa kusubiri tarehe ifike tu. Ushauri ni Vema mwanaume ukifika miaka 40+ ukaenda kufanya check up ya tezi dume.
 
Sio bongo ndugu,
Huku ukipona tezi basi utapata complication zingine, majuto tayari kidonda hakiponi na Nyonga washaiharibu. hapo ndio utajua nini maana ya operation za kibongo.
 
Dah, ni mwaka jana tu my grandp alifanyiwa operation hapo tumain, now hatunae....
Mzee majuto maskini, Mungu amsaidie!

MKuu kama huna uwezo wa kwenda njee, ni bora wakuache utaishi miaka mingi zaidi kuliko kufanyiw abongo hili swala.
si tanii huo ndio ukweli.
na madaktari wenye akili hawafanyi hii kitu haraka haraka, yupo bingwa pale kairuki ashhauri haya maoperation, ila ikiwa mbaya sana ndio anakufanyiaa.
 
Back
Top Bottom