Mzee Majuto azidiwa tena na kurejeshwa kulazwa Hospitalini

Hivi huyu Majuto kama anaumwa kila siku, anapataga wapi muda wa kufanya matangazo ya Neel Salt?
 
Haya ccm green mamba jitokezeni haraka sio msubiri mtu akate kamba ndio mje kubeba sanduku
 
Atapona siku sio nyingi na atarejea nyumbani salama.
 
Nilisikia Kikwete kamuahidi kumpeleka India, imefikia wapi?

Pole sana mzee majuto.
 
Kukumis tu..
You are in my Talks
You are in my Eyes
You are in my feelings
You are in my Thoughts
You are in my Work
You are in my Mind
You are in my Breath
You are in my Dreams
You are in my Prayers
You are in my Life
Because you are in my Heart...... And I miss you too [emoji8]
 
Pole Mzee wetu ndo uzee tena huu unakufata na magonjwa, mungu akuponye tunakuombea.
 
Pole Mzee Majuto, Mungu akusaidie. Ila mtoa mada nadhani hili sio jukwaa mujarab kwa uzi huu.
 
Nimekumbuka vile vi shuka anafungaga, kuna MTU anajifunga kama yeye dah nachekaga sana.
 
Pole mzee wa nil salt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…