Dah, ni mwaka jana tu my grandp alifanyiwa operation hapo tumain, now hatunae....tezi dume ukifanyiw aupasuaji bongo jihesabie miaka michache tu, lazima uende
Acha uwongo man. Wanapona vizuri tu. Sema ndio vile tena usijifanye uku tamu kule tamu. Lazma uumwe tena. Huu ugonjwa inabidi ufanye check up mapema. Maana ukijisahau kunauvimbe flani ni rahisi sana kuleta cancer, na cancer ikishaanza huwezi kufanya operation tena. Hivyo utajikuta unaishi kwa kusubiri tarehe ifike tu. Ushauri ni Vema mwanaume ukifika miaka 40+ ukaenda kufanya check up ya tezi dume.tezi dume ukifanyiw aupasuaji bongo jihesabie miaka michache tu, lazima uende
mbona unatutisha mkuu ujue Nina 39 Na nusu hapaUshauri ni Vema mwanaume ukifika miaka 40+ ukaenda kufanya check up ya tezi dume.
Acha uwongo man. Wanapona vizuri tu. Sema ndio vile tena usijifanye uku tamu kule tamu. Lazma uumwe tena. Huu ugonjwa inabidi ufanye check up mapema. Maana ukijisahau kunauvimbe flani ni rahisi sana kuleta cancer, na cancer ikishaanza huwezi kufanya operation tena. Hivyo utajikuta unaishi kwa kusubiri tarehe ifike tu. Ushauri ni Vema mwanaume ukifika miaka 40+ ukaenda kufanya check up ya tezi dume.
Dah, ni mwaka jana tu my grandp alifanyiwa operation hapo tumain, now hatunae....
Mzee majuto maskini, Mungu amsaidie!
Namfahamu mtu ana miaka kumi sasa tangu afanyiwe. Na yuko fiti
Wewe..!!