Mzee Majuto mgonjwa, akosa kitanda Muhimbili

Lakini pia ndani hii mada nitoe wito kwa wasanii, pengine na Serikali kwa ujumla......binafsi nimeshawahi kufanya kazi kadhaa na wasanii, hawa watu wananyonywa sana, mfano tunamuona Majuto kwenye matangazo mengi ambayo kimsingi yalitakiwa yamuingizie hela nyingi sana lakini ataishiwa kupewa 300,000/= imezidi sana milioni na senti kadhaa......nayasema kwa experience niliyonayo.........wasanii wangekuwa na utaratibu Wa kuweka kiwango chao kwenye matangazo,bila hivyo watadhulumiwa siku zote na kuishia kubaki na majina tu.
 
ukiwaona kwenye tv na kumbi za starehe utadhani watu, kumbe hata akiba wanashindwa kujiwekea. Hii ni aibu kwa hawa wanaojiita mastaa wa tanzania. hata hela ya kwenda hospital binafsi wanakosa
 
Mbona waalim na watumishi wengine wanaolipwa kiduchu wanaweza kujimudu kimaisha? tusiwatetee hawa wasanii wetu, wanasahau kuwa kuna kesho wao wanaishi kama leo haiishi
 
Nchi hii ni ya kipuuzi sana kuishi, huwezi pata maendeleo kama unaishi Tanzania zaidi ya kujiunga na lile genge la wahuni (looters) wa CCM ndio utakuwa tajiri
Daah!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Sheria ya takwimu inamhusu!!
 
Acha kuwapotosha watu kijana, ndio maana mnafeli darasani hd maisha. Umeshindwa nini kuelewa kilicho ripotiwa hap? Kuna suala la kuomba msaada wa matibabu hapo? pumbavu na lofa ndio anatabia km zako.
Mkuu vp mbona unajilengesha.??
Au linakuhusu??
My point was
Legendary kama king majuto si mtu wa kukosa kitanda hospital then akarudi nyumbani.
Angekua na comprehensive bima sidhani kama angeenda kupanga foleni muhimbili..angeenda popote penye hospital nzuri.
 
Bongo hakuna supastaa zaidi ya king majuto, get well soon legend!
 
Acha povu ndugu.
Hiyo post yako umeiweka kijanja ujanja kwa nia ya kupiga wadau mzinga kisayansi ila greathinkaz machale yamewacheza wakaanza kukutupia za usoni wakilenga komwe, pua, na limdomo lako.

Kama hukuwa na nia ya kutupiga mzinga sikuona sababu ya bandiko lako kwani hospitali ziko nyingi hapa dar.

Kukaa na mgonjwa nyumbani ni dalili ya kukosa girisi.

Ni aibu kubwa kwenu ndugu na huyo mgonjwa wenu kwa umaarufu alionao kumbe hamna kitu kazi kununua mavazi na kujaza matumbo tu

Amesema mdau mmoja hapo juu kuwa wasanii wakibongo akili hamna, wanafikiria leo hawafikirii kesho. Wamewekeza muda na mapato kwenye starehe, ulevi, umalaya na kununua kila mtindo wa mavazi.

Poleni ila muda ni mwalimu.
 
Mbona waalim na watumishi wengine wanaolipwa kiduchu wanaweza kujimudu kimaisha? tusiwatetee hawa wasanii wetu, wanasahau kuwa kuna kesho wao wanaishi kama leo haiishi
Hilo unalosema ni kweli chief, hicho kidogo wanacholipwa wanasahau kabisa kwamba kuna kesho.........
 
Aende mlonganzila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…