Lakini pia ndani hii mada nitoe wito kwa wasanii, pengine na Serikali kwa ujumla......binafsi nimeshawahi kufanya kazi kadhaa na wasanii, hawa watu wananyonywa sana, mfano tunamuona Majuto kwenye matangazo mengi ambayo kimsingi yalitakiwa yamuingizie hela nyingi sana lakini ataishiwa kupewa 300,000/= imezidi sana milioni na senti kadhaa......nayasema kwa experience niliyonayo.........wasanii wangekuwa na utaratibu Wa kuweka kiwango chao kwenye matangazo,bila hivyo watadhulumiwa siku zote na kuishia kubaki na majina tu.