Mzee Majuto mgonjwa, akosa kitanda Muhimbili

Kalagabaho kwa mzee Majuto kukosa kitanda inaonyesha hana pesa,sababu pale kama una hela zako unalipia daraja la kwanza na kupata kitanda,ni aibu kwa mzee Majuto kwenda kufikia kwa ndugu Mbagala,hawa wasanii wetu wanajisahau sana,usanii wake ni faida yak e mwenyewe,tusitake tuingizane bure kwenye mambo binafsi,kila mwananchi ana umuhimu wake kwa taifa,wasanii hujisahau sana na wakiwa kwenye hali nzuri husahau kama kuna kesho.Kila mtu atabeba msalaba wake,hapa hakuna sijui cha legend wala superstar wanapopata wanakula kimya kimya,mambo yakienda hovyo wanataka kila mtu yamhusu,hayo ya Majuto hayatuhusu kila itu ahangaike na hali yake
 
Njoo La Chalz nikupe tano,umenena haswa,hawa wasanii wapuuzi sana
 
Hahaha
Du! La uso kapsa!
 
Njoo La Chalz nikupe tano,umenena haswa,hawa wasanii wapuuzi sana
Ningekuja mkuu tena nlivyokuwa na kiu ya safari lger...
Ni kweli wasani hela zao huishia Kugonga tu wakipigika wanakuja kulialia wapuz sana....alafu wanajiona kama ndy wenye haki ya kusaidiwa tu

Ova
 
Hili linawezekana nchi kama hii tuu. Eti mgonjwa anaenda Hosp anaridishwa kisa kakosa kitanda.

Hapo mtu maaruf hivi angekuwa mtu mwingine ingekuwaje?

Unakosa kitanda mgonjwa ambaye dr umeshasema anastahili kulazwa kwa uchunguz zaidi?

Hii nchi ni ya ajabu sana halafu utatakiwa Mumy mwl akikaa kideoni na kusema tumeongea vitanda muhimbili
 
Vinaanzaga hivi hivi mkuu...... Hatuombei afikie huko lakini kwa MTU kama Majuto ilitakiwa matibabu isiwe ishu........Regency, Kairuki,Aga Khan.....popote pale alitakiwa atibiwe sio kurudishwa nyumbani eti hakuna kitanda.
Ishu ni kwamba kwann muhimbili kikosekane kitanda?

Hivi kweli kweli Hosp yetu ya taifa inakosa vitanda?

Kwann tuone Hosp za binafsi zinaweza kuwa na ubora zaid kuliko ya taifa?

Kwann tunaongopewa kuwa vitanda vimepelekwa mnh tatizo la vitanda hakuna?
 
Nyie wanaume! Sasa huyu baba kwenda kuugulia Kwa ndugu mkewe yuko wapi?

Tunyanyaseni tu.
 
Kila siku tunaambiwa tuwe na bima ya afya,hivi angekuwa NAyO si angeenda hata regency hapa ni lazima tukubali kuwa kuna tatizo.Kuna kipindi alimuomba JK trekta,hivi kwa level za Mzee majuto angeshindwa kununua trecta ya ml hata 35.Hapo hatujazungumzia wacheza mpira,wakiumwa napo ni balaa utasikia simba/yanga wamenitelekeza
 
Swali lako zuri Mkuu, naamini sio wewe tu unayejiuliza hilo swali hospital ya Taifa kukosa Vitanda vya kutosha,ila ndio hali halisi........Tanzania inabidi tuache siasa kwenye mambo ya msingi hasa afya...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…