Mzee Majuto mgonjwa, akosa kitanda Muhimbili

Mzee Majuto mgonjwa, akosa kitanda Muhimbili

Maneno meengi yaliyojaa pumba za dagaa!!. Nini hujaelewa kwenye hiyo post? Mzee ameenda hospitali ya Taifa ya rufaa amekosa kitanda akarudi!! hajaomba msaada wa pesa wala hajalaumu mtu!!.. sasa wewe hizo pumba zako za dagaa na lawama unazitolea wapi? .. ungekua na akili timamu ungehoji why hospitali ya Taifa ya Rufaa haina vitanda vya kulaza wagonjwa lkn wewe unaanza kulaumu kina wema sepetu na hamisa mobeto! Hopeless!!
Kalagabaho kwa mzee Majuto kukosa kitanda inaonyesha hana pesa,sababu pale kama una hela zako unalipia daraja la kwanza na kupata kitanda,ni aibu kwa mzee Majuto kwenda kufikia kwa ndugu Mbagala,hawa wasanii wetu wanajisahau sana,usanii wake ni faida yak e mwenyewe,tusitake tuingizane bure kwenye mambo binafsi,kila mwananchi ana umuhimu wake kwa taifa,wasanii hujisahau sana na wakiwa kwenye hali nzuri husahau kama kuna kesho.Kila mtu atabeba msalaba wake,hapa hakuna sijui cha legend wala superstar wanapopata wanakula kimya kimya,mambo yakienda hovyo wanataka kila mtu yamhusu,hayo ya Majuto hayatuhusu kila itu ahangaike na hali yake
 
Pesa yote anayoingiza kwenye matangazo na sinema
Mm Nlijua Mzee majuto akaunt yake haikosi Mln 400 Hivi....hawa wasaniii watakuwa wana matumizi ya ziada si bure wao wakiumwa kutwa kutaka kichangiwaa tu
Wakiwa wazima mbwembwe nyingi tu
Wakati umefika kwa wasanii wajifunze wasiishi kwa kuiga
Mfano Leo usikie daimond kapata ugonjwa gafla alafu atake kuchangiwa hayo si maajabu wakati mtu anakuambia show yake moja analipwa Mln 200

Ova
Njoo La Chalz nikupe tano,umenena haswa,hawa wasanii wapuuzi sana
 
Maneno meengi yaliyojaa pumba za dagaa!!. Nini hujaelewa kwenye hiyo post? Mzee ameenda hospitali ya Taifa ya rufaa amekosa kitanda akarudi!! hajaomba msaada wa pesa wala hajalaumu mtu!!.. sasa wewe hizo pumba zako za dagaa na lawama unazitolea wapi? .. ungekua na akili timamu ungehoji why hospitali ya Taifa ya Rufaa haina vitanda vya kulaza wagonjwa lkn wewe unaanza kulaumu kina wema sepetu na hamisa mobeto! Hopeless!!
Hahaha
Du! La uso kapsa!
 
Njoo La Chalz nikupe tano,umenena haswa,hawa wasanii wapuuzi sana
Ningekuja mkuu tena nlivyokuwa na kiu ya safari lger...
Ni kweli wasani hela zao huishia Kugonga tu wakipigika wanakuja kulialia wapuz sana....alafu wanajiona kama ndy wenye haki ya kusaidiwa tu

Ova
 
Hili linawezekana nchi kama hii tuu. Eti mgonjwa anaenda Hosp anaridishwa kisa kakosa kitanda.

Hapo mtu maaruf hivi angekuwa mtu mwingine ingekuwaje?

Unakosa kitanda mgonjwa ambaye dr umeshasema anastahili kulazwa kwa uchunguz zaidi?

Hii nchi ni ya ajabu sana halafu utatakiwa Mumy mwl akikaa kideoni na kusema tumeongea vitanda muhimbili
 
Vinaanzaga hivi hivi mkuu...... Hatuombei afikie huko lakini kwa MTU kama Majuto ilitakiwa matibabu isiwe ishu........Regency, Kairuki,Aga Khan.....popote pale alitakiwa atibiwe sio kurudishwa nyumbani eti hakuna kitanda.
Ishu ni kwamba kwann muhimbili kikosekane kitanda?

Hivi kweli kweli Hosp yetu ya taifa inakosa vitanda?

Kwann tuone Hosp za binafsi zinaweza kuwa na ubora zaid kuliko ya taifa?

Kwann tunaongopewa kuwa vitanda vimepelekwa mnh tatizo la vitanda hakuna?
 
Nyie wanaume! Sasa huyu baba kwenda kuugulia Kwa ndugu mkewe yuko wapi?

Tunyanyaseni tu.
 
Kila siku tunaambiwa tuwe na bima ya afya,hivi angekuwa NAyO si angeenda hata regency hapa ni lazima tukubali kuwa kuna tatizo.Kuna kipindi alimuomba JK trekta,hivi kwa level za Mzee majuto angeshindwa kununua trecta ya ml hata 35.Hapo hatujazungumzia wacheza mpira,wakiumwa napo ni balaa utasikia simba/yanga wamenitelekeza
 
Ishu ni kwamba kwann muhimbili kikosekane kitanda?

Hivi kweli kweli Hosp yetu ya taifa inakosa vitanda?

Kwann tuone Hosp za binafsi zinaweza kuwa na ubora zaid kuliko ya taifa?

Kwann tunaongopewa kuwa vitanda vimepelekwa mnh tatizo la vitanda hakuna?
Swali lako zuri Mkuu, naamini sio wewe tu unayejiuliza hilo swali hospital ya Taifa kukosa Vitanda vya kutosha,ila ndio hali halisi........Tanzania inabidi tuache siasa kwenye mambo ya msingi hasa afya...........
 
Back
Top Bottom