mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
Kalagabaho kwa mzee Majuto kukosa kitanda inaonyesha hana pesa,sababu pale kama una hela zako unalipia daraja la kwanza na kupata kitanda,ni aibu kwa mzee Majuto kwenda kufikia kwa ndugu Mbagala,hawa wasanii wetu wanajisahau sana,usanii wake ni faida yak e mwenyewe,tusitake tuingizane bure kwenye mambo binafsi,kila mwananchi ana umuhimu wake kwa taifa,wasanii hujisahau sana na wakiwa kwenye hali nzuri husahau kama kuna kesho.Kila mtu atabeba msalaba wake,hapa hakuna sijui cha legend wala superstar wanapopata wanakula kimya kimya,mambo yakienda hovyo wanataka kila mtu yamhusu,hayo ya Majuto hayatuhusu kila itu ahangaike na hali yakeManeno meengi yaliyojaa pumba za dagaa!!. Nini hujaelewa kwenye hiyo post? Mzee ameenda hospitali ya Taifa ya rufaa amekosa kitanda akarudi!! hajaomba msaada wa pesa wala hajalaumu mtu!!.. sasa wewe hizo pumba zako za dagaa na lawama unazitolea wapi? .. ungekua na akili timamu ungehoji why hospitali ya Taifa ya Rufaa haina vitanda vya kulaza wagonjwa lkn wewe unaanza kulaumu kina wema sepetu na hamisa mobeto! Hopeless!!