Mzee Makamba alisema Kumuuza Mgombea Kwa Wapiga Kura kunahitaji awe na " Mvuto binafsi" na Siyo kuwategemea Chawa. Tundu Lissu ana Mvuto wa Kisiasa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Akiwa Katibu mkuu wa CCM Luteni Kanali mstaafu Yusuf Makamba alisema JK anauzika kirahisi sana Kwa Wapiga Kura Kwa sababu ana mvuto wa kisiasa Kwa Vijana

Ndivyo nami nimwonavyo Tundu Lisu wa Chadema ana mvuto wa kisiasa na haitaji Chawa kumjengea ushawishi Kwa Jami kama afanyavyo mpinzani wake

Ahsanteni sana 😄
 
Enzi za Magufuli, hivi sasa hana mvuto, mchonganishi na mtu wa majungu
 
Angekuwa hana mvuto Katibu mkuu wenu Dr Mashinji, Mwenyekiti wa Bawacha Alhaj wa kike Halima na Mwenyekiti wa Bavicha Katambi wangehamua CCM? 😂😂😂

Vipi we Mujahideen 🐼
 
January hii umeanza ukiwa na akili timamu sana yohana mbatizaji. Endelea kuwa hivi na utabarikiwa saana
Kwamba yule wa CCM Hana mvuto Hadi ategemee chawa🤔

Jo hapaswi kucheleweshewa posho, atavuruga mambo.
 
Back
Top Bottom