#COVID19 Mzee Makamba: Askofu Gwajima na Polepole hawavumiliki. Lazima wajue uhuru wao unaishia Bungeni


😂😂😂😂 Wala haituhusu hata kama chimeumana:



Yaache yarukaruke yakanyagane yatajiju.
 
Huyu mzee atulie kwanza. asije akamharibia mwanae njia ya kwenda Ikulu.

Kipindi kile walipigwa pini kwa sababu hizi hizi na kutaka kujionesha yupo.
 
Analipiza kisasi?
 
Wewe makamba unatafuta kutukanwa. Si unyamaze, usubiri kufa. Ulifanya yako ukamaliza sasa unakenua meno ya nini? Watu wasiseme? Imperial president unamtetea nini? asisemwe? Rubbish!
Hafi mtu hapa. Makamba for life
 
Mzeer makamba aache unafiki, wakati jiwe anawashambulia wa vaaa barakoa na waliokua wanataka kuwepo chanjo,yeye alijitokeza kupigania alicho kiamini kuhusu corona?.

Ila sishangaiii, kamuambukiza hata mwanae tabia za kinafkii
 
Alitakiwa aendelee kuiweka chini volume kama alivyofanya tulipokumbwa na tukio zito kama Taifa. Kwa sasa kuiweka volume juu ataleta rabsha zisizoza msingi. Asilazimishe watu waanze kumshuku isivyotakikana! Yangu ni hayo.
aiseeeeeeee
 
Mzeer makamba aache unafiki, wakati jiwe anawashambulia wa vaaa barakoa na waliokua wanataka kuwepo chanjo,yeye alijitokeza kupigania alicho kiamini kuhusu corona?.

Ila sishangaiii, kamuambukiza hata mwanae tabia za kinafkii
alikaa kimya kabisa hahaha sasa hivi kuna uhuru na yeye ana washangaa kutumia uhuru wao
 
Mzee kusema anadharauliwa ni dharau pia,

Katibu Mkuu si alishasema wameshaanza mchakato wa kuwashughulikia ?

Au mnataka na "mama" aanze kuwabatiza kwa moto🔥
labda yeye anaona mchakato unachelewa
 
alikaa kimya kabisa hahaha sasa hivi kuna uhuru na yeye ana washangaa kutumia uhuru wao
zee jinga hiloooooooooooooooooooooo lilikaa kimywa wakati wa Magu, leo linafugua domo kuzuia watu wasiseme wanayoona si mazuri.
 
Mzee Makamba pindi akiwa katibu mkuu CCM kwa kitendo cha yeye kuwa sehemu ya kuweka wagombea dhaifu wa CCM, ilipelekea kuonekana wana uwezo mdogo kwenye kipindi cha TV TBC1, mchakato majimboni; hii ilipelekea TIDO Mhando kifanyiwa zengwe na kibarua chake cha u-boss kuota magugu.

Enzi za Mzee Makamba huyu huyu, Spika Sitta (mzee wa standard and Speed); aliweka viwango vya juu kwa kutotaka majibu mepesi kutoka kwa mawaziri bungeni. Bunge likawa huru kwa dhana ya mhimili unaoisimamia serikali.
Mzee Makamba na wenzake, wanamfanyia mtimanyongo Big Sam, baada ya kuja na hoja safari hii spika ni zamu ya wanawake.

Well, huyo ndio mzee Makamba ambae anakula pensheni ya ustaafu.
 
Mzee makamba Kama unayajua hayo ilikuwaje na wewe ukamhujumu mwendazake? Una tofauti gani na gwajima?
 
Reactions: mmh
'Long term effects' zinatokana na kile kilichomo kwenye chanjo, sio 'speculations'. Wataalamu wamefanya 'sequencing' na kuthibitisha kwamba hakuna kilichomo kwenye chanjo kinachoweza kuwa na 'Long term effects'
 
Mimi ninachojua chanjo ni hiari. Anayetetea kuchanja ana haki sawa na anayekataza watu wasichanje.

Hivyo, wote wapo sawa, wote haki zao ni sawa.
Kufanya kazi au kutofanya kazi ni hiari lakini kuwashawishi watu wasifanye kazi, ni kosa.

Unaelewa?

Unaweza kuamua kutochanjwa lakini usishawishi watu kutochanjwa kwa sababu uamuzi wa Serikali na ushauri wa WHO, ni wananchi wapate chanjo. Hivyo huna haki ya kutumia ignorance ya watu kuwapotosha.

Haina tofauti na chanjo za polio, tetekuwanga, kifua kikuu, n.k; wananchi wanashauriwa kuwapeleka watoto wao kuchanjwa, hakuna anayekamatwa kwa nguvu kwenda kumchanja mtoto wake lakini ukipatikana unashawishi wazazi wasiwapeleke watoto wao kupata chanjo, ni kosa kwa sababu unakwenda kinyume na sera ya Taifa na miongozo ya WHO.
 
Huyu mzee atulie kwanza. asije akamharibia mwanae njia ya kwenda Ikulu.

Kipindi kile walipigwa pini kwa sababu hizi hizi na kutaka kujionesha yupo.
Mmh. Labda ikulu ya Bumbuli....
 
Makamba nae anafungua kinywa chake against hiyo miamba?
Angekaa kimya tu uwezo wake mdogo mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…