johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwahiyo Dr Slaa alikuwa sahihi 2010?docta alisema yeye ndo kaporomosha kura za ccm ngekewa tena?
Hahahaaaa........!Mimi nimekumbuka alipokuwa anasema mwenzako hata Kama ulicheza nae akiishamuoa mama yako ni baba yako, Sasa hivi amepepata ubatizo wa Moto ameacha maneno ya kihuni
Huo ni mtazamo wako bwashee!Bado makamba Ni bora kuliko bashiru
Hahahaaaa........ Bwashee wanasiasa ni wanafiki sana!Naona Dr Bashiru kakukumbusha ya Luteni Makamba, CCM safi sana.
Wale waliokuwa wanampigia makofi Dr Bashiru na kuunga mkono kauli yake kwa kutikisa vichwa vyao unaweza kukuta ndio hao hao waliofanya hivyohivyo kwa Lt Makamba wakati anazungumza hayo, CCM chama cha wanyonge.
Hahahaaaa........ Bwashee wanasiasa ni wanafiki sana!
Kwani ulidhani Ni mtazamo Wa naniHuo ni mtazamo wako bwashee!
slaa alijitahidi katika unafiki wake ila mwisho sura yake ikaonekanaKwahiyo Dr Slaa alikuwa sahihi 2010?
kila lililo na mwanzo lina mwishoHuyo ni kati ya viongozi walioamini rushwa na mitandao ndani ya CCM - nasikitika kupokonywa ushindi chini ya uongozi wake
Wa kwako!K
Kwani ulidhani Ni mtazamo Wa nani
Hata wewe, mabandiko yako mengi yamekaa kinafiki nafiki.Hahahaaaa........ Bwashee wanasiasa ni wanafiki sana!
Ndio siasa hiyo bwashee au wewe hapo Ufipa unahubiri Injili?!