Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM haiwezi kugawanyika........kama unabisha kamuulize mzee Lowassa!Mmeanza kugawanyika!!
CCM hakuna mitego bwashee!Makamba na Kikwete wamewekewa mtego mkali sana
Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - KikweteMmeanza kugawanyika!!
Hapo Ufipa mnaachiana?!Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani - Kikwete
Kwani Mwakyembe alipowekewa sumu hadi akanyonyoka ngozi alikuwa Chadema ?Hapo Ufipa mnaachiana?!
Chacha Wangwe alikuwa CCM?!Kwani Mwakyembe alipowekewa sumu hadi akanyonyoka ngozi alikuwa Chadema ?
Mimi nimekumbuka alipokuwa anasema mwenzako hata Kama ulicheza nae akiishamuoa mama yako ni baba yako, Sasa hivi amepata ubatizo wa Moto ameacha maneno ya kihuni
upi huo mkuu?mtego gani?Membe atapenya?Makamba na Kikwete wamewekewa mtego mkali sana
Makamba na Kikwete wamewekewa mtego mkali sana
Makamba tayari , Bado KikweteMtego mkali kabisa