Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

Wanasema tumevuka wimbi la Kwanza na la pili
Ni lini tulikua na Hilo wimbi la pili?
Ni wao wenyewe ndio waliokua wanasema corona haipo tumeishinda imetoka wapi leo??!
Gwajima ndo mtu pekee anayeonekana kusimamia anachokiamini
Sio Hawa wengine wachumia matumbo

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye kumkatia mauno muumini wake, na kutuletea treni wanaKawe... hapo nakuunga mkoni. Hivi sasa tunasubiria atupeleke Birmingham tukale bata
Moja ya vigezo kuruhusiwa kuingia Birmingham ni kuwa umepata chanjo.
If you know, you know.
 
Mimi nasubiria majibu ya Gwajima jumapili pale kwenye lile jengo lake linalofanana na kanisa

Asisahau wenye Dunia yao soon wanaanza kumtarget,tena yeye ni mwepesi sana muda sio mrefu video zake zitaondolewa YouTube na kwingineko kwahiyo mahubiri yake yatabaki huko huko kwenye jengo lake
 
Huyu huyu mzee (na mwanae) aliyepiga goti mbele ya Magufuli ???? amaa kweli Paka akiondoka panya hutawala. Hawa wazee tayari wana chanjo walozoagiza kwaajili ya Biashara
 
Back
Top Bottom