Mzee Makamba tubu dhambi ya wazuri hawafi

Amaa kweli Wenda wazimu ni wengi Tanzania
 
Why mnapenda Sana kukuza mambo?
Huyo Mzee siku Ile Ile alirekebisha kauli yake...why mnataka nongwa isiyo Kwisha?
Embu acha unafiki
akurekebisha yeye bali Rais ndio alierekebisha na kumuombea msamaha bali yeye hakuwahi kurekebisha kauli yake
 
Ila wewe jamaa huwa nakuona kama tahira fulani hivi usiejielewa
 
Duh, huyu wa Sasa naye COVID au ni nini?
 
Pumzika kwa amani Jasusi Benard Cammilius Membe, waswahili wanasema kulia ni kupokezana. Kauli ya kamaradi wako Mzee Makamba inatumika kukupiga "watu wazuri hawafi". Japo umekata kauli , msiba wako unatoa taswira jinsi kulivyo na tabaka mbili katika Watanzania. Tabaka lililoumizwa na msiba wa JPM leo ndio wanasherekea mauti yako. Tabaka la walifurahia kifo cha muzilankende muyango Leo ndio wanakulilia japo hawana nguvu ya UMMA nyuma yao na msiba umebaki wa familiar chache za mikocheni na masaki.
 
MAKAMBA YUKO SAHIHI (WAZURI HAWAFI UTAJO WAO) WANAENDELEA KUKUMBUKWA KWA MEMA KIZAZI NA KIZAZI
 
Labda akichomoka mwanae mpenzi au mke vinginevyo hawezi badili kauli
 
Huyu namsubiri kwa hamu sana! Siku hiyo nitakula kuku!
 
Sasa nani anae kufatilia wewe chizi flesh zwazwa zombokoko mavi kunuka
Unaniita Chizi fresh halafu bado unanijibu. Anyway unanikubali ila unaona aibu kukiri.

Ila mimi siwezi kukujibu kipumbavu kwa kuwa Mithali 26:4 inasema "Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, usijefanana na yeye"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…