Mzee Makamba tubu dhambi ya wazuri hawafi

Mzee Makamba tubu dhambi ya wazuri hawafi

Unaniita Chizi fresh halafu bado unanijibu. Anyway unanikubali ila unaona aibu kukiri.

Ila mimi siwezi kukujibu kipumbavu kwa kuwa Mithali 26:4 inasema "Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, usijefanana na yeye"
Sasa hivi adi mna quote biblia wakati nyie mlikuwa mnaita wenzenu mashetani leo mmegeuka watu wema eti mnataka maridhiano
Alafu upo msibani huku unachezea simu tulia dawa ikuingie zwazwa wewe
 
Why mnapenda Sana kukuza mambo?
Huyo Mzee siku Ile Ile alirekebisha kauli yake...why mnataka nongwa isiyo Kwisha?
Alirekebishaje kaka? Kuwa serous tz sio vilaza angeomBa radhi wote tungejua na yangeisha
 
Maana ya Neno huwa kwa msemaji wa neno.

Wangemuuliza Mzee una maana gani?

Ila kwa mwerevu ni rahisi kumuelewa.

Aliongea kwa wema tu mzee wa watu.

Akiwa na maana mtu akitenda mema hata anapokuwa amekufa lakini yale matendo yake mema yatakuwa yanaishi miongoni mwa jamii.

Ni msisitizo wa kuishi kwa kutenda mema.
Na hii ndio Maana halisi ya Hili neno, ila tuna vizazi vya vijana vilaza kabisa wengi ukitumia figure of speech ni matatizo kwao.
 
Sasa hivi adi mna quote biblia wakati nyie mlikuwa mnaita wenzenu mashetani leo mmegeuka watu wema eti mnataka maridhiano
Alafu upo msibani huku unachezea simu tulia dawa ikuingie zwazwa wewe
Bodo unajibizana na Chizi fresh?
 
MZEE Makamba tubu dhambi uliyowaambia watanzania kuwa watu wazuri hawafi nakushauri hii laana na hii dhambi itakutafuna milele na milele wewe na kizazi chacho, fuatilia maoni ya wengi kwenye mitandao yote utajua taifa lina maumivu makubwa na kauli yako..

hayo ni maoni yangu tu kama mtanzania masikini nisiyeweza kukufikia kukupa ujumbe wangu
Huyo mzee hawezi kutubu kwa sababu
1. Ana kiburi
2. Majivuno
3. Imani za kitunguli
4. Sio mwadilifu
5. Nadhiri inamsuta
6.Atatengwa na genge la kimafia
 
Kiwango cha elimu cha Makamba sikijui, kauli yake "wazuri hawafi" ni ya mtu ambae hajaenda shule.
 
Katika wazee wa hovyo hili taifa limetokea kuwa nao ni makamba. Yule mzee ni ass kisser asie na akili kabisa

Weka akiba ya maneno @ Ndugu,

Onesha kuelimika na kustaarabika.

Unaweza kuandika hoja ya maana bila kumkosea mtu heshima.

Unajua ni mtu mzima na wa kuhushimiwa kwenye jamii yule?

Hata kama ingekuwa ni kweli amekosea lakini kuna namna ya kumuonya Mzee na sio kama unaongea na mhuni mwenzio wa kijiweni.

Tujifunze kuwa na adabu na heshima.

Aalaah [emoji57][emoji57]
 
Kama mtu hana akili tuseme ana akili? Hii tabia ya kinafiki sina. Nyekundu ni nyekundu tu.

Uzee hauondoi upumbavu, hata wapumbavu huzeeka. Wazungu husema age comes with wisdom but sometimes age comes alone. Yule mzee age came alone.

Yule mzee ni hovyo na hana akili.
 
Maana ya Neno huwa kwa msemaji wa neno.

Wangemuuliza Mzee una maana gani?

Ila kwa mwerevu ni rahisi kumuelewa.

Aliongea kwa wema tu mzee wa watu.

Akiwa na maana mtu akitenda mema hata anapokuwa amekufa lakini yale matendo yake mema yatakuwa yanaishi miongoni mwa jamii.

Ni msisitizo wa kuishi kwa kutenda mema.
Hayo unasema wew yeye ni mtu mwema hafi na wanawe
 
MZEE Makamba tubu dhambi uliyowaambia watanzania kuwa watu wazuri hawafi nakushauri hii laana na hii dhambi itakutafuna milele na milele wewe na kizazi chacho, fuatilia maoni ya wengi kwenye mitandao yote utajua taifa lina maumivu makubwa na kauli yako..

hayo ni maoni yangu tu kama mtanzania masikini nisiyeweza kukufikia kukupa ujumbe wangu
Yaani kila nikisoma hizi sms nacheka sana na kuhuzunika kuona jinsi ccm ilivyo haribu hili taifa kuwa na vijitu vya ccm vijinga vijinga namna hii.
Lakini LISSU aliwaambia mapema kuwa hakuna aliyeko salama kwa Upuuzi ambao Magufuli anautenda kwa wapinzani na wajinga wanaufurahia kwa kuwa ukatili huo wanatendewa wapinzani.

Kutokana na Uzuzu wenu ma ccm mkamuona Lissu hamnazo mkaendelea kufurahia ukatili.
Leo ma ccm manafurahia kufa kwa mwana ccm mwenzenu yametimia. Mlifikiri mkipanda chuki mtavuna pilau? Majinga kabisasa ninyi.
KATIBA MPYA NI SASA.
Maendeleo hayana chamaa.
 
“Kifo kikiwa na sura kavu hutembelea bila ubaguzi vibanda vya masikini na majumba ya matajiri.”

Tusidanganyike.

Kauli, nyuzi na maoni ya kujifariji na kutupa toshelezo binafsi la muda mfupi haviwezi kutukinga na kifo au hata kutuongezea chochote cha maana katika haya maisha.

Valar morghulis.
 
Back
Top Bottom