Mzee Mangula: Magufuli hakutoa Rushwa kwenye mchakato wa uchaguzi 2015. Wajumbe walimuunga mkono Lowassa

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Nakumbuka Hayati John Magufuli kipindi cha mchakato wa uchaguzi 2015 alikuja nyumbani kwangu Oysterbay aliniambia anataka kujiondoa kwenye mizunguko ya kutafuta wadhamini alisema hana pesa kabisa. "Alisema Wenzake wanatoa pesa sana.

Alikwenda kwenye mikoa akizungumza nao akitaka kuondoka wanauliza anawaachaje? Alikwenda Iringa alikuwa akitafuta wadhamini 30 aliambiwa na Kiongozi kwamba hatoboi. Wote wamemuunga mkono Lowassa.

"Alinipigia simu na nilimpigia Katibu wa Chama wilaya ampeleke kwenye tawi lolote nje ya Mji. Alipofika alikuta watu 50 wanamsubiri. "Alipomaliza wakati anaondoka walimuuliza tena anawaachaje? Akawaambia anaawaacha kama alivyowakuta, akapanda kwenye gari, akaondoka!"- Mzee Philip Mangula, Mstaafu wa nafasi ya katibu Mkuu na Makamu Mwenyekiti wa CCM
793027933_18627373510020337_8315840275983841055_n.heic.jpg
 
Tatizo la Jiwe ni kuitindiga Katiba kama kikaratasi, Kumtwanga risasi Lissu, kuanza michezo ya kuteka na kupoteza watu, kuanza kununua wapinzani. kuweka bunge lake mwenyewe bila ridhaa ya wananchi, kuvuruga chaguzi za serikali za mitaa (2019) kwa kiwango cha aibu. Aliwafundisha viongozi wajao wa CCM kuwa kuna shortcut ya power nayo ni kuteka watu, kuvunjavunja katiba na taratibu, kuiba uchaguzi mzima bila hata kuremberemba, na kuvuruga haki za watu wengine kwa sababu tu una nguvu.
 
Nakumbuka Hayati John Magufuli kipindi cha mchakato wa uchaguzi 2015 alikuja nyumbani kwangu Oysterbay aliniambia anataka kujiondoa kwenye mizunguko ya kutafuta wadhamini alisema hana pesa kabisa. "Alisema Wenzake wanatoa pesa sana.

Alikwenda kwenye mikoa akizungumza nao akitaka kuondoka wanauliza anawaachaje? Alikwenda Iringa alikuwa akitafuta wadhamini 30 aliambiwa na Kiongozi kwamba hatoboi. Wote wamemuunga mkono Lowassa.

"Alinipigia simu na nilimpigia Katibu wa Chama wilaya ampeleke kwenye tawi lolote nje ya Mji. Alipofika alikuta watu 50 wanamsubiri. "Alipomaliza wakati anaondoka walimuuliza tena anawaachaje? Akawaambia anaawaacha kama alivyowakuta, akapanda kwenye gari, akaondoka!"- Mzee Philip Mangula, Mstaafu wa nafasi ya katibu Mkuu na Makamu Mwenyekiti wa CCM
View attachment 3663032
Hizi ndo sifa halisi za CCM Sasa, achana na zile za amani na blabla nyingine.
 
Tatizo la Jiwe ni kuitindiga Katiba kama kikaratasi, Kumtwanga risasi Lissu, kuanza michezo ya kuteka na kupoteza watu, kuanza kununua wapinzani. Aliwafundisha viongozi wajao wa CCM kuwa kuna shortcut ya power nayo ni kuteka watu, kuvunjavunja katiba na taratibu, na haki za watu wengine
Sahihi kabisa! Na ikumbukwe yeye ndiye chanzo kikuu cha kuporomoka kwa kiwango cha demokrasia nchini! Yeye ndiye muasisi wa hiki kinachoendelea sasa;
1. kwa kupiga marufuku mikutano ya kisiasa!
2. Kuteka na kuwapoteza wakosoaji wake. mfano Ben Saanane, Azory Gwanda, nk.
3. Kuruhusu Lissu na wanasiasa wenzakekukamatwa kwa kesi nyingi za uchochezi, na baadaye kushambuliwa kwa risasi.
4. Yeye ndiyo muasisi wa siasa za kutukuzana (uchawa). Tanzania ya Magufuli, serikali ya Magufuli, nk.
5. Aliasisi dhuluma na uonevu kwenye uchaguzi. Wapinzani walienguliwa na pia kura zao kuibwa waziwazi na hivyo kuifanya ccm ishinde uchaguzi wa serikali za mitaa kwa urahisi 2019, na ule uchaguzi mkuu wa 2020.

Alinukuliwa akisema wananchi watakao wachagua wapinzani hawatapelekewa huduma za kijamii (maendeleo)! Wakurugenzi walitishwa kutumbuliwa iwapo watawatangaza wapinzani (huku yeue Magufuli akiwapataia magari na mafita ya bure)!

Kwa hiyo tusisahau haya mapungufu yake wakati wanajadili hayo mazuri yake.
 
Nakumbuka Hayati John Magufuli kipindi cha mchakato wa uchaguzi 2015 alikuja nyumbani kwangu Oysterbay aliniambia anataka kujiondoa kwenye mizunguko ya kutafuta wadhamini alisema hana pesa kabisa. "Alisema Wenzake wanatoa pesa sana.

Alikwenda kwenye mikoa akizungumza nao akitaka kuondoka wanauliza anawaachaje? Alikwenda Iringa alikuwa akitafuta wadhamini 30 aliambiwa na Kiongozi kwamba hatoboi. Wote wamemuunga mkono Lowassa.

"Alinipigia simu na nilimpigia Katibu wa Chama wilaya ampeleke kwenye tawi lolote nje ya Mji. Alipofika alikuta watu 50 wanamsubiri. "Alipomaliza wakati anaondoka walimuuliza tena anawaachaje? Akawaambia anaawaacha kama alivyowakuta, akapanda kwenye gari, akaondoka!"- Mzee Philip Mangula, Mstaafu wa nafasi ya katibu Mkuu na Makamu Mwenyekiti wa CCM
View attachment 3663032
Kwa hiyo anataka kusemaje?
 
Jiwe ndiye aliyeifikisha nchi katika hali hii mbaya tuliyonayo isiyozingatia uhuru wa watu na kusigina haki za binadamu
Ndio maana Magufuli alijitoa sadaka kwa watanzania bila yeye sasa hivi tungekuwa na mgao wa kutisha wa umeme.

Serikali ya wala rushwa hutumikia Watoa rushwa ndio maana sasa hivi maeneo ya jeshi yanauzwa kwa GSM
 
Sahihi kabisa! Na ikumbukwe yeye ndiye chanzo kikuu cha kuporomoka kwa kiwango cha demokrasia nchini! Yeye ndiye muasisi wa hiki kinachoendelea sasa;
1. kwa kupiga marufuku mikutano ya kisiasa!
2. Kuteka na kuwapoteza wakosoaji wake. mfano Ben Saanane, Azory Gwanda, nk.
3. Kuruhusu Lissu na wanasiasa wenzakekukamatwa kwa kesi nyingi za uchochezi, na baadaye kushambuliwa kwa risasi.
4. Yeye ndiyo muasisi wa siasa za kutukuzana (uchawa). Tanzania ya Magufuli, serikali ya Magufuli, nk.
5. Aliasisi dhuluma na uonevu kwenye uchaguzi. Wapinzani walienguliwa na pia kura zao kuibwa waziwazi na hivyo kuifanya ccm ishinde uchaguzi wa serikali za mitaa kwa urahisi 2019, na ule uchaguzi mkuu wa 2020.

Alinukuliwa akisema wananchi watakao wachagua wapinzani hawatapelekewa huduma za kijamii (maendeleo)! Wakurugenzi walitishwa kutumbuliwa iwapo watawatangaza wapinzani (huku yeue Magufuli akiwapataia magari na mafita ya bure)!

Kwa hiyo tusisahau haya mapungufu yake wakati wanajadili hayo mazuri yake.
Historia ni mbaya sana, kwa mazuri na mbaya Yote huandikwa
 
MSUKUMA02 hapa vipi! Bado una wazo la kununua ugomvi?
 
Jiwe ndiye aliyeifikisha nchi katika hali hii mbaya tuliyonayo isiyozingatia uhuru wa watu na kusigina haki za binadamu
Marehemu hasemwi vibaya mkuu ebu achana na Mpendwa wetu jiwe JPM mwamba kabisa kuwahi kutokea jambo la kumlaumu labda ni kuwaachia SSH tu alafu sio kosa lake maana baadae mlimchagua kwa 98%
 
Atakayemsema vibaya JPM nanunua ugomvi
JPM alikuwa na mazuri yake, lakini pia alikuwa na madhaifu/mabaya yake. Na baadhi ya hayo madhaifu/mabaya yake ndiyo yamezaa hiki kinachoendelea nchini kwa sasa.

Enzi zake Chato ilikuwa ndiyo habari ya mjini! Amekufa na Chato nayo imekufa. Kwa sasa habari ya mjini ni Kizimkazi! Ikulu ndogo ya Tunguu, nk.

Enzi zile tulikuwa na MATAGA, sasa hivi tuna CHAWA! Yaani maisha yamekuwa ni copy and paste.
 
MSUKUMA02 hapa vipi! Bado una wazo la kununua ugomvi?
Yote hayo alikuwa anayafanya kwa maslahi ya taifa zima na wananchi wake na hakuwahi kufanya jambo lolote kwa maslahi yake au ya chama chake

Yeye kipaumbele chake kama mlikuwa hamjui ni MMOJA AUMIE ILI MAMIA WAPONE sasa hapo kosa lake kubwa ni lipi na pia mambo hayo ya utekaji sijui kuuliwa mengine ilikuwa ni mpango wa watu wengine ili kumtengenezea picha mbaya katika utawala wake ila kiufupi JPM ni Rais Bora kuwahi kutokea Tanzania na itachukua mia kumpata kama yeye
 
Back
Top Bottom