Mzee Mbowe ni Mhaini kama wahaini Wengine tu

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
6,822
Reaction score
4,034
Tumesikia toka kwa wanachama wa CHADEMA kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo.

Tunauliza, Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank kuu kwa ajili ya kukopesha fedha?

Kama hana leseni, tunaomba akamatwe mara moja na kufunguliwa mashtaka ya utakatishaji fedha.
 
Tumesikia toka kwa wanachama wa chadema kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo,
Tunauliza,Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank kuu kwa ajili ya kukopesha fedha?

Kama hana leseni ,tunaomba akamatwe mara moja na kufunguliwa mashatka ya utkatisha fedha.
Safari hii mtatunga kila uongo
Kiboko yenu sanduku la kura

Huyo mbelgiji wenu ajiandae lupigwa chini.sanduku.la kura
 
Kwamba hukumskia yeye mwenyewe kwa kauli yake mbele ya waandishi kuwa huwa anakikopesa chama?
 
Tumesikia toka kwa wanachama wa chadema kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo,
Tunauliza,Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank kuu kwa ajili ya kukopesha fedha?

Kama hana leseni ,tunaomba akamatwe mara moja na kufunguliwa mashatka ya utkatisha fedha.
Tumesikia toka kwa wanachama wa chadema kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo,
Tunauliza,Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank kuu kwa ajili ya kukopesha fedha?

Kama hana leseni ,tunaomba akamatwe mara moja na kufunguliwa mashatka ya utkatisha fedha.

i ambaye huna hata hicho chama mbali na kutojua hata maana ya demokrasia?
 
Makengeza kazingua sana, ina maana anataka aje kufia madarakani auu.
 
Acheni kuponda kikoba cha mjomba wangu. Mjomba wangu amekuja mjini kutafuta maisha. Anzisheni vikoba vyenu kama ni rahisi
 
Tumesikia toka kwa wanachama wa chadema kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo,
Tunauliza,Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank kuu kwa ajili ya kukopesha fedha?

Kama hana leseni ,tunaomba akamatwe mara moja na kufunguliwa mashatka ya utkatisha fedha.
Umeishiwa mpaka umeanza kutumia ujanja wa upande wa pili!!!
 
Tumesikia toka kwa wanachama wa chadema kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo,
Tunauliza,Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank kuu kwa ajili ya kukopesha fedha?

Kama hana leseni ,tunaomba akamatwe mara moja na kufunguliwa mashatka ya utkatisha fedha.
Wewe hujawahi kukopesha hata kanisa, mtu yoyote maanake ulikuwa na leseni ya BOT? UWT kwanini hamnaga akili?
 
Huna taarifa kuwa biashara ya kukopesha ni lazima uwe na leseni?kama unakopesha bila ya uwepo wa leseni wewe ni mhalifu kama wahalifu wengine tu na siku ukidakwa ndio utajua hujui.
 
Kumbuka, Behind every Government, there is a group of rich men. CCM yenyewe haiendeshwi kwa ruzuku na ada za wanachama tu. Kuna matajiri wanaoichangia. Mbowe is playing such a role in CHADEMA.
 
Tumesikia toka kwa wanachama wa chadema kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo,
Tunauliza,Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank kuu kwa ajili ya kukopesha fedha?

Kama hana leseni ,tunaomba akamatwe mara moja na kufunguliwa mashatka ya utkatisha fedha.
Wewe ile fedha uliyomkopesha rafiki yako ulikuwa na leseni ya kukopesha?
 
Tumesikia toka kwa wanachama wa chadema kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo,
Tunauliza,Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank kuu kwa ajili ya kukopesha fedha?

Kama hana leseni ,tunaomba akamatwe mara moja na kufunguliwa mashatka ya utkatisha fedha.
Usimuite mzee huyo ni muhuni fulani fulani tu. Nashauri nyuzi zote za hii NGO zifutwe
 
Tumesikia toka kwa wanachama wa chadema kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo,
Tunauliza,Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank kuu kwa ajili ya kukopesha fedha?

Kama hana leseni ,tunaomba akamatwe mara moja na kufunguliwa mashatka ya utkatisha fedha.
Kuna evidence au ni maneno ya siasa?
 
Kwenye issue ya kukopesha sio lazima uwe na leseni mkuu. Kuna mikopo ambayo ni over the counter, no kama wewe umkopeshe rafiki yako, hiyo haina shida kisheria, na mnaweza kuandikishana kabisa.
 
Na ukadai Riba?
 
Back
Top Bottom