Mzee Mbowe ni Mhaini kama wahaini Wengine tu

Mzee Mbowe ni Mhaini kama wahaini Wengine tu

Safari hii mtatunga kila uongo
Kiboko yenu sanduku la kura

Huyo mbelgiji wenu ajiandae lupigwa chini.sanduku.la kura
Asee kumbe kila upande una sehem yao ya kupokea mlungula ....kwahio hapa ni mbeligiji vs beberu yupi tena au wa canada
 
Tumesikia toka kwa wanachama wa chadema kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo,
Tunauliza,Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank kuu kwa ajili ya kukopesha fedha?

Kama hana leseni ,tunaomba akamatwe mara moja na kufunguliwa mashatka ya utkatisha fedha.
Acha upumbavu wewe ,chama cha siasa kinafanya biashara gani , ukikopesha chama cha siasa ni kama ambavyo unaweza mkopesha pesa rafiki yako ,akili za maccm za hajabu sana.

Unamtushia Mbowe ili iweje?

Ccm maeneo yote mnayosema ya kwenu mlinunua au mliiba tu , je ni kweli ni ya ccm?
 
Back
Top Bottom