Safari hii mtatunga kila uongoTumesikia toka kwa wanachama wa chadema kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo,
Tunauliza,Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank kuu kwa ajili ya kukopesha fedha?
Kama hana leseni ,tunaomba akamatwe mara moja na kufunguliwa mashatka ya utkatisha fedha.
Mnakataa ukweli ehe?Safari hii mtatunga kila uongo
Kiboko yenu sanduku la kura
Huyo mbelgiji wenu ajiandae lupigwa chini.sanduku.la kura
Kwamba hukumskia yeye mwenyewe kwa kauli yake mbele ya waandishi kuwa huwa anakikopesa chama?Safari hii mtatunga kila uongo
Kiboko yenu sanduku la kura
Huyo mbelgiji wenu ajiandae lupigwa chini.sanduku.la kura
Tumesikia toka kwa wanachama wa chadema kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo,
Tunauliza,Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank kuu kwa ajili ya kukopesha fedha?
Kama hana leseni ,tunaomba akamatwe mara moja na kufunguliwa mashatka ya utkatisha fedha.
Tumesikia toka kwa wanachama wa chadema kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo,
Tunauliza,Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank kuu kwa ajili ya kukopesha fedha?
Kama hana leseni ,tunaomba akamatwe mara moja na kufunguliwa mashatka ya utkatisha fedha.
Umeishiwa mpaka umeanza kutumia ujanja wa upande wa pili!!!Tumesikia toka kwa wanachama wa chadema kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo,
Tunauliza,Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank kuu kwa ajili ya kukopesha fedha?
Kama hana leseni ,tunaomba akamatwe mara moja na kufunguliwa mashatka ya utkatisha fedha.
Wewe hujawahi kukopesha hata kanisa, mtu yoyote maanake ulikuwa na leseni ya BOT? UWT kwanini hamnaga akili?Tumesikia toka kwa wanachama wa chadema kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo,
Tunauliza,Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank kuu kwa ajili ya kukopesha fedha?
Kama hana leseni ,tunaomba akamatwe mara moja na kufunguliwa mashatka ya utkatisha fedha.
Huna taarifa kuwa biashara ya kukopesha ni lazima uwe na leseni?kama unakopesha bila ya uwepo wa leseni wewe ni mhalifu kama wahalifu wengine tu na siku ukidakwa ndio utajua hujui.Wewe hujawahi kukopesha hata kanisa, mtu yoyote maanake ulikuwa na leseni ya BOT? UWT kwanini hamnaga akili?
Wewe ile fedha uliyomkopesha rafiki yako ulikuwa na leseni ya kukopesha?Tumesikia toka kwa wanachama wa chadema kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo,
Tunauliza,Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank kuu kwa ajili ya kukopesha fedha?
Kama hana leseni ,tunaomba akamatwe mara moja na kufunguliwa mashatka ya utkatisha fedha.
Usimuite mzee huyo ni muhuni fulani fulani tu. Nashauri nyuzi zote za hii NGO zifutweTumesikia toka kwa wanachama wa chadema kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo,
Tunauliza,Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank kuu kwa ajili ya kukopesha fedha?
Kama hana leseni ,tunaomba akamatwe mara moja na kufunguliwa mashatka ya utkatisha fedha.
Kuna evidence au ni maneno ya siasa?Tumesikia toka kwa wanachama wa chadema kuwa Mzee Mbowe huwa anakopesha chama chake Fedha na kurejeshwa na chama kwa makubaliano yaliyopo,
Tunauliza,Mzee Mbowe anayo leseni inayotolewa na bank kuu kwa ajili ya kukopesha fedha?
Kama hana leseni ,tunaomba akamatwe mara moja na kufunguliwa mashatka ya utkatisha fedha.
Kuna duka lina leseni ya kukopesha mchele au sukari? hivi nyie UWT huwa mnaakili timamu kweli?Huna taarifa kuwa biashara ya kukopesha ni lazima uwe na leseni?kama unakopesha bila ya uwepo wa leseni wewe ni mhalifu kama wahalifu wengine tu na siku ukidakwa ndio utajua hujui.
Kwa hiyo Mzee Mbowe alikuwa anakopesha Mchele?πββοΈπββοΈπββοΈKuna duka lina leseni ya kukopesha mchele au sukari? hivi nyie UWT huwa mnaakili timamu kweli?
Na ukadai Riba?Kwenye issue ya kukopesha sio lazima uwe na leseni mkuu. Kuna mikopo ambayo ni over the counter, no kama wewe umkopeshe rafiki yako, hiyo haina shida kisheria, na mnaweza kuandikishana kabisa.
UWT mtaelewa wapi?Kwa hiyo Mzee Mbowe alikuwa anakopesha Mchele?πββοΈπββοΈπββοΈ