Mzee Mbowe ni Mhaini kama wahaini Wengine tu

Safari hii mtatunga kila uongo
Kiboko yenu sanduku la kura

Huyo mbelgiji wenu ajiandae lupigwa chini.sanduku.la kura
Asee kumbe kila upande una sehem yao ya kupokea mlungula ....kwahio hapa ni mbeligiji vs beberu yupi tena au wa canada
 
Acha upumbavu wewe ,chama cha siasa kinafanya biashara gani , ukikopesha chama cha siasa ni kama ambavyo unaweza mkopesha pesa rafiki yako ,akili za maccm za hajabu sana.

Unamtushia Mbowe ili iweje?

Ccm maeneo yote mnayosema ya kwenu mlinunua au mliiba tu , je ni kweli ni ya ccm?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…