Complicator
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 2,198
- 3,580
- Thread starter
- #201
Hahahaaa mzee i can feel youVijana mnafeli mnapodhani ''nguvu za kiume'' ni moja ya nguzo za mapenzi.
Huna nguvu za kiume au?
Sasa kama huna nguvu za kiume si utaishia kugongewa tu mke,maana hata uwe na mkwanja kiasi gani..lile hitaji la msingi la ngono ambalo kila kiumbe kinahitaji utalifanya vipi.
Sent using Jamii Forums mobile app