witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Umeongea kitu kizito sana...unaweza kuwa unampigia mtu mahesabu kuwa mwaka huu hatoboi ukashangaa we ndo unasepa unamwacha!Huyu mama akili yake inamtuma kuwa mzee atavuta soon ili hata akianza kujiachia na mirathi apate huruma kuwa alimpenda sana mzee na alimtunza vyema acha ale matunda, hajui kwa Mungu hakuna namba anaweza kumpenda kabla ya mzee.
Mi toka nione ishu ya lowasa sina hamu, Mungu mkali asee
Sent using Jamii Forums mobile app