sawe4u lazima akatoe maelezo Polisi kama Mzee Mengi amekufa kifo cha mashaka! Kwa statement hiyo!!!???Kweli zinahesabika, ni siku 30 tangu uandike hivi na leo hatunae tena
Ulimi uliponza kichwa mkuu!!Midomo imebeba maono mengi hana kosa katika hili
Kesho gizaUlimi uliponza kichwa mkuu!!
Na mzee ameshavuta kaka!JN anasubiri Mzee avute abebe sehemu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh we jamaa ,haya sasa yametokeaK lyni ameshagundua expire date ya mzee Mangi imekaribia hivyo anapalilia mirathi yake ili muone anastahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulitabiri kifo cha MengiDakika za 90 mechi huwa fasta sana. Refa anakua makini mno,kocha anahakikisha wachezaji hawafanyi uzembe,golikipa anajipanga vyema,beki na viungo wanasimamia majukumu yao sawia huku mshambuliaji akiwa font front kuhakikisha timu inaibuka na shangwe.
Duh we jamaa ,haya sasa yametokea
K lyni ameshagundua expire date ya mzee Mangi imekaribia hivyo anapalilia mirathi yake ili muone anastahili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee this is very true , ndio maana anatumia nguvu nyingi kuonesha kwamba anapendwa/ au wanapendana
Tweet zote zilitoka kwa jack. Mzee alikuwa anaumwa tayariHe was acting weird, none would have believed him to be the Mengi of few years back akiikosoa wizara ya nishati na serikali kwa ujumla.
Victoire alikuwa anasema zile weird tweets anaandika Jacky inawezekana kbsaa...
Ni jaqHii thread niliwaambia Mengi hayupo sawa,na inawezekana kafariki katika kutafuta ujana zaidi. Majuzi juzi kulikuwa na tweet inaongelea stem cells. Ambayo iliandikwa kwenye tweet ya Mengi. Im sure si Mengi aliyeiandika.
Ngoja tuone utekelezaji wa utabiri huu.Huyu mama akili yake inamtuma kuwa mzee atavuta soon ili hata akianza kujiachia na mirathi apate huruma kuwa alimpenda sana mzee na alimtunza vyema acha ale matunda, hajui kwa Mungu hakuna namba anaweza kumpenda kabla ya mzee.
Unajua why alimwacha????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji22]Kuna la kujifunza
Huyu mzee aliacha mke halali aliye hustle naye toka ujana wao, akaja mchukuwa kylin, mke wake akafariki miezi michache tu iliyopita sijui aliondoka na maumivu na uchungu wa aina gani leo mengi kamfata na jak kaachwa hapo.
Hapa kuna jambo kubwa ambalo tunapaswa kujifunza.