Mzee Mengi anapolazimika kuwa kituko mbele ya jamii


Siku yenyewe imewadia, ni leo mkuu. Uliongea kama mtabiri
 
Ofcoz, hata inasemekana kifo chenyewe kimejaa sintofahamu

All in all mzee alikua kaenda age sana
Mkuu Mengi hakuwa Mzee kihivyooo 75 ni bado sana sema ugonjwa nadhani alipata stroke
Hakupata muda mzuri wa kupumzika na kurecover
Alikuwa anapelekeshwa sana. Umri kama ule alipashwa awe ametulia kusafiri hapa na pale ikibidi awe free from stress ajilie matunda ya kazi yake
Ma mdogo alikuwa ana fanya aishi kama mtu wa 50-65 wakati Mzee umri wa pilikapilika ulikuwa umekwenda zake

Anyways who are we to judge
Mungu asimamie hili kuwe na amani kati yao kama familia.
Huruma lakini dah
 
Unajua ni kwa nini waliachana? Jambo usilolijua hasa mambo ya ndoa usilaumu tu. BTW kifo cha mke wake na yeye havina uhusiano wowote. Nin imani zenu potofu tu!
 
Duh!
 
hii ndio huwa tunasema
Mwanakuyataka....mwanakuyapata wazee wetu sijui vipi mtu mzima 70s unaenda kuoa binti wa 30s jamani! Hapa mwisho alionekana anafanya Mambo ambayo Wala sio style yake kabisa ..... Mfano mapicha picha kwenye anniversary, mbona hatukuwahi kumuona mzee Mengi akifanya hivyo ktk kipindi alipokuwa mzima wa afya, alipokuwa anaongea maneno yanatoka vizuri!
 
Siku yenyewe imewadia, ni leo mkuu. Uliongea kama mtabiri
Ni Njia yetu site Mkuu. Ila ukiwa na pesa ni bora ukaweka kiburi au mzaha pembeni hasa inapotokea kifo cha mwenza mliyechuma wote ila mkashindwa kuishi pamoja baadaye.
 
Kama ulinusa vile mkuu.
Braza mengibkabakidha miaka michache sana katika maisha yake, alikuwa busy kusaka pesa sasa acha afanye hayo unayoona ni ya kijinga ila kiuhalisia anafurahia maisha yake ya mwisho mwisho
 
Mke wake alikuwa mshenzi tu nae, i dont see a point kama una hustle na mwanamke kisha anakusaliti na kutaka kukuua kwa sumu unaokolewa na dakatari wa familia. Huo upendo wako utaendelea kuwepo kwa mtu huyo kweli? Hata wewe mkeo akifanya hayo unaendelea kumpenda ama unaachana nae!?

Atleast mkewe amekufa natural death, tofauti na vile ambavyo yeye alitaka Mengi afe. They had children together hilo halibadiliki ila haiondoi ukweli kuwa mwanamke wake alikuwa mshenzi na alimpa stress za ajabu enzi za ujana wake.

Na pia nadhani mzee aliathirika sana kisaikolojia na hio hali na kuona mwanamke ni kitu cha hovyo tu aheri awe anagonga na kuwaacha akikinai. Ila lately baada ya moyo kupona ndio akaona kumbe kuna wanawake proper tu anaweza kuoa na kuanzisha nae familia vyema tu ndio kumuoa K-Lynn
 
Umeandika kwa hisia mno. [emoji22]
 
ukikabidhi akili zako kwa Mange Kimambi basi utakuwa na matatizo ya akili kuliko huyo Mange mwenyewe.
 
Dah mambo yasiwe mengi na mengi yasiwe mambo.
 
Kuna mambo mengine usiposhirikisha ubongo wako vizuri ukaruhusu hisia za mahaba zikachukuwa mahali pa ubongo basi unajitafutia kifo cha mapema au migogoro isiyo isha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…