Mzee Mengi anapolazimika kuwa kituko mbele ya jamii

Huyu mama akili yake inamtuma kuwa mzee atavuta soon ili hata akianza kujiachia na mirathi apate huruma kuwa alimpenda sana mzee na alimtunza vyema acha ale matunda, hajui kwa Mungu hakuna namba anaweza kumpenda kabla ya mzee.
Nasikia amewapanga ndugu zake vizuri sana na kufanikiwa kumteka Mzee. Nasikia haoni wala hasikii. Poor him. His children need to rescue him.
 
Hivi Mzee Mengi unakuta naye ana mishemishe kabisa za kupiga machine na yale mastaili yetu ya kibabe mara kwenye stool mara sakafuni,au zile za kinyooonge harafu dak 3 tu[emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa!!!ahsante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uki
Sijui watoto wake na ndugu zake wako wako wapi?

Nimejiuliza sana hili swali: Kwanini wanakubali kuona baba yao anakuwa kituko kwenye mitandao?

Heshima aliyojijengea yule Mzee inapotea ghafla. Sasa hivi amekuwa kama wakina Diamond Platnumz
ukisikia utuuzima hovyo ndio huo ...katika umri huo mzee mzima anageuzwa kuwa kituko cha insta !!? naona hata watoto zake wamemshinda busara sasa
 
mna
mzee mengi hana Acc jf ..angalieni msije kumuua kwa pressure tu
 
Huyu mama akili yake inamtuma kuwa mzee atavuta soon ili hata akianza kujiachia na mirathi apate huruma kuwa alimpenda sana mzee na alimtunza vyema acha ale matunda, hajui kwa Mungu hakuna namba anaweza kumpenda kabla ya mzee.

Mmhhh
Kama akili yake inawaza Mzee atavuta soon Basi anaweza hata akamset Afe , ili atambe na serengeti boys kwa utajiri atakaoachiwa jamani yasemwayo Yapo familia ya mzee iwe makini
 
Nasikia amewapanga ndugu zake vizuri sana na kufanikiwa kumteka Mzee. Nasikia haoni wala hasikii. Poor him. His children need to rescue him.

Amemteka kiuchawi mkuu akisaidiwa na ndugu zake ( Kylin) Ni dawa tu hizo , uchawi wa kigoma nawajua waganga wake wanaowapumbaza Mzee na familia yake yote wasiseme chochote
 
Amemteka kiuchawi mkuu akisaidiwa na ndugu zake ( Kylin) Ni dawa tu hizo , uchawi wa kigoma nawajua waganga wake wanaowapumbaza Mzee na familia yake yote wasiseme chochote
Wabongo aisee mna manenooo..yaani uchawi wa freemason ukadunde kwa uchawi wa hapo kigoma jamani!???

Sema tu huyo demu atakua hata anamtawadha mzee kwa ulimi..ndio maana kachanganyikiwa,huba likikoza unachanganyikiwa kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…