Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,295
- 10,928
Nasikia amewapanga ndugu zake vizuri sana na kufanikiwa kumteka Mzee. Nasikia haoni wala hasikii. Poor him. His children need to rescue him.Huyu mama akili yake inamtuma kuwa mzee atavuta soon ili hata akianza kujiachia na mirathi apate huruma kuwa alimpenda sana mzee na alimtunza vyema acha ale matunda, hajui kwa Mungu hakuna namba anaweza kumpenda kabla ya mzee.