Mzee Mengi anapolazimika kuwa kituko mbele ya jamii

Mzee Mengi anapolazimika kuwa kituko mbele ya jamii

Complicator

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2013
Posts
2,198
Reaction score
3,580
Huyu mzee ameamriwa kuwa kituko sasa kwenye jamii.

Hizi video zake zinazosambaa anatamka maneno ambayo hayasikiki akiwa mbele ya mkewe K-Lyn ni dhahiri kwamba analazimishwa tu kufanya mambo yanayomdhalilisha.

Umri wake siyo wa kukaa kutufundisha mapenzi.

956B6DBF-CA4B-4415-962C-5E17940A738D.jpeg
 
Dakika za 90 mechi huwa fasta sana. Refa anakua makini mno,kocha anahakikisha wachezaji hawafanyi uzembe,golikipa anajipanga vyema,beki na viungo wanasimamia majukumu yao sawia huku mshambuliaji akiwa font front kuhakikisha timu inaibuka na shangwe.
 
Huyu mzee ameamuliwa kuwa kituko sasa kwenye jamii,hizi video zake zinazosambaa anatamka maneno ambayo hayasikiki akiwa mbele ya mkewe k lyn ni dhahiri kwamba analazimishwa tu kufanya mambo yanayomdhalilisha.

Umri wake siyo wa kukaa kutufundisha mapenzi.

Uzi tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana unajua watu wakizeeka kufiki umri wake halafu hawana changamoto nyingi hujikuta akili zikirudi na kuwa kama za mtoto... Hata wewe inaweza kukutokea ukiweza kufikia umri wake halafu unazo

Jr[emoji769]
 
Huyu mzee ameamuliwa kuwa kituko sasa kwenye jamii,hizi video zake zinazosambaa anatamka maneno ambayo hayasikiki akiwa mbele ya mkewe k lyn ni dhahiri kwamba analazimishwa tu kufanya mambo yanayomdhalilisha.

Umri wake siyo wa kukaa kutufundisha mapenzi.

Uzi tayari.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi naamini hiki ndio kipindi mzee mengi anaenjoi mapenzi kuliko wakati wake wote hapa duniani toka amejua kutiana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom