Tukuyu hakuna mpunga. Kuna ndizi na maparachichiMkuu sijawahi kujihusisha na kilimo cha mpunga ila naweza kupata walau gunia moja toka kwa rafiki yangu Mwamaso wa Tukuyu Mbeya!
Tukuyu hakuna mpunga. Kuna ndizi na maparachichi
Mwisho wa mwakaMarhaba Sonia,Lini utakuja kunitembelea?
Basi wewe pita tu mnyonge:Wenzio wako kwenye bustanidunia njia tu
Hewala,mimi nishakueleza mimi ni dume kama wewe waona furaha kunitambua kivingine ni juu yako na uelewa wako, na kama unaona ubahilli kwa mademu unaona ndio ujanja poa pia,lakini usije rusha ngumi siku ukiona demu wako anachukuliwa na wanaojua kuhudumia.Wanaume hatuko hivyo we ni wa upande wa pili
Duuuuh, hii kali yaaani kuna dawa ya kubadilisha dushelele ziwe kama za vijana!inaelekea kakufanya kuwe kubichi kama kijana hahahahaaaaaaaaaaaaaaa
kwani hujui pesa inanunua vifaa kwa ajili ya kuondoa mikunjo ya dushelee iliwe kama kijana shauriro kama ujui
Ulishajaribu kama bado nenda utuletee majibu hapa ubaoni!Hebu nenda kampe mzee Hilo tundu la huruma uone atakavyokupa orgasm
Hivi mtoto wako unaweza kumpa achezee dushelele!Shida ipo wapi
ulitaka niwe sad?Happy for him????
Marhaaba ujambo ww? Kwan watu wananitafuta sana? Nataka nawe uwe pesa il watu wakugombanieShikamoo pesa
Wewe inakuhusu nini?? Regina hana tatizo na babake wala Jack nyie mnabaki kulialia tuhata akiungua mbele ya pesa unadhani watu wanaona hilo basi tu wanafanya machukizo mbele za Mungu
sasa huyo binti si kama mwanae jamani mweeee mtoto wake anamwitaje huyo binti mama mdogo au /??????????????
Mdogo wake Benjamin Mengi ni mstaarabu kupindukia sasa.. Nakumbuka mwaka flani nilienda kwake pale Machame nilikuwa nina shida nae flani, Mzee alikuwa anatoka kwenda kanisani lakini aliketi tukaongea kama dakika 10 ndio akaondoka.. Ustaarabu huo wameurithisha mpaka kwa watoto wao.. I can imagine Regina au Abdiel wangekuwa na fujo kiasi gani hapa mjini kama wangekuwa watoto wa JK... But they are no where to be found.. Sio kwenye social networks wala interactions za wadada au mabitoz wa mjini.. Tunapaswa kuwakuza watoto wetu kwenye msingi huoReginald mengi ni mtu mstaarabu sana... Ni jiran ake na ndugu yangu... Yaan matukio ya kijamii hakosi... Wanaishi vizur jackline ntyumbalile anajitambua sana
Anaye mtoto mwingine mkubwa wa kiume, he was named after his grandfathers name Mangi Abdiel Shangali.. Mke wa Mengi wa kwanza mama Mercy Mengi alikuwa mtoto wa Mangi wa Wamachame.. Na dada yake Mengi Aishi akaolewa na baba yake Mbowe.. Mengi ni mjomba wa Mbowe.. U can see money follows money..Mimi namuunga mkono kuoa binti mdogo walau amepata watoto wa kurithi mali yake.
Kama mtakumbuka mzee Mengi amepoteza watoto wake akiwemo yule Mutie Mengi aliyefariki kwa ugonjwa wa moyo na kupelekea mzee Mengi kutaka kujenga hospitali ya moyo iliyotaka kupewa jina la Taasisi ya Moyo ya Mutie Mengi kama kumbukumbu ya mtoto wake kipenzi.
Wale mnaopinga ni wivu wa kimaisha tu lakini alifanya maamuzi sahihi. Binafsi namuunga mkono.
Wivu na umaskini tu ndio vinakusumbuwa, uliona wapi magari mabovu yanakokotana?huyu mzeee nlikua namkubali biznes zake ila kija kuzaaa na k lyni ni kama mwanae kajiharibia hrshima halafu wakazaaa kabisa?? aibu hata hawaoni? kwan yule mama mengi halisi yuko wapi? kwel dunia ina meng
Hivi si kuna habari zilivuma kuwa huyu Mzee ameungua?
Ni kama kamwoa binti yake vile.
Tungesema mwanamke wa 70+ kaolewa na mwanaeAngekuwa mwanamke wa 70+ kaolewa na mume mdogo sijui mngesemaje walimwengu!
Jema lipi...?