Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

Wanaume hatuko hivyo we ni wa upande wa pili
Hewala,mimi nishakueleza mimi ni dume kama wewe waona furaha kunitambua kivingine ni juu yako na uelewa wako, na kama unaona ubahilli kwa mademu unaona ndio ujanja poa pia,lakini usije rusha ngumi siku ukiona demu wako anachukuliwa na wanaojua kuhudumia.
 
inaelekea kakufanya kuwe kubichi kama kijana hahahahaaaaaaaaaaaaaaa

kwani hujui pesa inanunua vifaa kwa ajili ya kuondoa mikunjo ya dushelee iliwe kama kijana shauriro kama ujui
Duuuuh, hii kali yaaani kuna dawa ya kubadilisha dushelele ziwe kama za vijana!
 
hata akiungua mbele ya pesa unadhani watu wanaona hilo basi tu wanafanya machukizo mbele za Mungu

sasa huyo binti si kama mwanae jamani mweeee mtoto wake anamwitaje huyo binti mama mdogo au /??????????????
Wewe inakuhusu nini?? Regina hana tatizo na babake wala Jack nyie mnabaki kulialia tu
 
Reginald mengi ni mtu mstaarabu sana... Ni jiran ake na ndugu yangu... Yaan matukio ya kijamii hakosi... Wanaishi vizur jackline ntyumbalile anajitambua sana
Mdogo wake Benjamin Mengi ni mstaarabu kupindukia sasa.. Nakumbuka mwaka flani nilienda kwake pale Machame nilikuwa nina shida nae flani, Mzee alikuwa anatoka kwenda kanisani lakini aliketi tukaongea kama dakika 10 ndio akaondoka.. Ustaarabu huo wameurithisha mpaka kwa watoto wao.. I can imagine Regina au Abdiel wangekuwa na fujo kiasi gani hapa mjini kama wangekuwa watoto wa JK... But they are no where to be found.. Sio kwenye social networks wala interactions za wadada au mabitoz wa mjini.. Tunapaswa kuwakuza watoto wetu kwenye msingi huo
 
Mimi namuunga mkono kuoa binti mdogo walau amepata watoto wa kurithi mali yake.

Kama mtakumbuka mzee Mengi amepoteza watoto wake akiwemo yule Mutie Mengi aliyefariki kwa ugonjwa wa moyo na kupelekea mzee Mengi kutaka kujenga hospitali ya moyo iliyotaka kupewa jina la Taasisi ya Moyo ya Mutie Mengi kama kumbukumbu ya mtoto wake kipenzi.

Wale mnaopinga ni wivu wa kimaisha tu lakini alifanya maamuzi sahihi. Binafsi namuunga mkono.
Anaye mtoto mwingine mkubwa wa kiume, he was named after his grandfathers name Mangi Abdiel Shangali.. Mke wa Mengi wa kwanza mama Mercy Mengi alikuwa mtoto wa Mangi wa Wamachame.. Na dada yake Mengi Aishi akaolewa na baba yake Mbowe.. Mengi ni mjomba wa Mbowe.. U can see money follows money..
 
Hivi si kuna habari zilivuma kuwa huyu Mzee ameungua?

Waliongua ni wanawe wawili,wa kiume keshavuta na wa kike anaendea gesi.
hilo la yeye lilisemwa lkn sishangai mana hata " vasko dagama " tulisikia hivyo hivyo....
 
Mnaopinga jambo hili hata hamjatoa sababu zenye mashiko kuwezesha pingamizi zenu kuwa na nguvu.

Mfano ni ktk maandiko gani matakatifu au ktk sheria ya nchi ambayo inambana mzee Mengi kuoa huyo binti.

Siku zote watu wenye roho ya kwa nini kamwe hamtapiga hatua ya mafanikio kwa sababu hamkai kushughulisha akili zenu kufanya mambo bali mnakaa kudadisi na kufuatilia maisha ya watu.

Basi sasa ndo aneshaolewa na Mengi na ndoa hamuwezi kuivunja maisha yanaenda MJINYONGE.
 
Back
Top Bottom