Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,403
- 12,775
Anatupa hamasa ya kutafuta pesa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sana mkuu.Anatupa hamasa ya kutafuta pesa!
sana mkuu.
Nimechelewa kukupa jibu mujarabuMashetani kama nyie huwa hamkosi...acheni chuki kwenye mafanikio ya watu...
swaga/madini yako tu mkuu, mbona wenzako tunawakamua sana hao wapemba na ni watamu kweli.Samahani hivi suala la mahusiano ni la muungano? maana kuna watoto kutoka Pemba ni mashallah!
Happy for him????Mzee makunyanzi yameisha.Anang'aa kama kijana.Am happy for him!
Wanaume hatuko hivyo we ni wa upande wa piliWee Sijali,(who cares) Mimi ni dume naona(wewe na Barafu) mmechanganyikiwa kutokana na maoni yangu ya kupondea midume mibahili isiyojua kutunza mademu au wake zao,mkadhani mimi ni demu la hasha mimi sio demu,Nimesema hivyo kutokana na vijana wengi siku hizi wanapenda sana mteremko (na hii inathibitishwa na takwimu kwamba wabongo wengi 71% ambao wengi wao ni vijana hawapendi kufanyi kazi wao wanapenda kujirusha tu,so maana yangu ilikua kwamba ili upate vitu vizuri huna budi kugharamia sio unaona vimetunzwa wee ndo unapeleka pua yako,fanya kazi kijana acha kurukia mademu wa watu,mjini hapa wanaogharamia wakikujua watakufanya kitu mbaya.
swaga/madini yako tu mkuu, mbona wenzako tunawakamua sana hao wapemba na ni watamu kweli.
mpunga unao??????Mkuu nipigie pande basi kwa mmoja ambaye uliwahi muonja nijiridhishe kama ni mtamu...usijali hata akiwa used!
mpunga unao??????
hahahahamarhaba haujambo mwanadamu
nami najiuliza kibinti kama hicho kinajisikiaje kuvuliwa nguo na babu yake?na ukute anamwita baby...pesa noooooma!Kama ndo hivyo kweli angebakia na mke wake yule yule waliyeanzaga naye kutafuta miamia
Siyo jizeee kama hilo linachukua kidemu kisa lina hela
Ndio sababu tunawashauri mtafute kwanza pesa kabla hamjatengeneza six packs humo miilini mwenu. Bila vijana kutafuta pesa mademu wazuri wataendelea kubebwa na wazee tu. Take this noteKama ndo hivyo kweli angebakia na mke wake yule yule waliyeanzaga naye kutafuta miamia
Siyo jizeee kama hilo linachukua kidemu kisa lina hela
Marhaba Sonia,Lini utakuja kunitembelea?Shikamoo pesa