Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

kacheza kete acha binti aenjoy maisha. kuliko kuvumilia shida kwa jamaa na kidogo alichonacho ana michepuko kibao. hana hasara
 
Wee Sijali,(who cares) Mimi ni dume naona(wewe na Barafu) mmechanganyikiwa kutokana na maoni yangu ya kupondea midume mibahili isiyojua kutunza mademu au wake zao,mkadhani mimi ni demu la hasha mimi sio demu,Nimesema hivyo kutokana na vijana wengi siku hizi wanapenda sana mteremko (na hii inathibitishwa na takwimu kwamba wabongo wengi 71% ambao wengi wao ni vijana hawapendi kufanyi kazi wao wanapenda kujirusha tu,so maana yangu ilikua kwamba ili upate vitu vizuri huna budi kugharamia sio unaona vimetunzwa wee ndo unapeleka pua yako,fanya kazi kijana acha kurukia mademu wa watu,mjini hapa wanaogharamia wakikujua watakufanya kitu mbaya.
Wanaume hatuko hivyo we ni wa upande wa pili
 
Haka za wanawake na wanaharakati dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia hivi hili hawalionii??? Lerra 1 hayupo jamani?? Au anayaona ya akina diamond

Mwisho wa yote

Shikamooo pesaaaaa
 
swaga/madini yako tu mkuu, mbona wenzako tunawakamua sana hao wapemba na ni watamu kweli.

Mkuu nipigie pande basi kwa mmoja ambaye uliwahi muonja nijiridhishe kama ni mtamu...usijali hata akiwa used!
 
Mimi namuunga mkono kuoa binti mdogo walau amepata watoto wa kurithi mali yake.

Kama mtakumbuka mzee Mengi amepoteza watoto wake akiwemo yule Mutie Mengi aliyefariki kwa ugonjwa wa moyo na kupelekea mzee Mengi kutaka kujenga hospitali ya moyo iliyotaka kupewa jina la Taasisi ya Moyo ya Mutie Mengi kama kumbukumbu ya mtoto wake kipenzi.

Wale mnaopinga ni wivu wa kimaisha tu lakini alifanya maamuzi sahihi. Binafsi namuunga mkono.
 
Kama ndo hivyo kweli angebakia na mke wake yule yule waliyeanzaga naye kutafuta miamia
Siyo jizeee kama hilo linachukua kidemu kisa lina hela
nami najiuliza kibinti kama hicho kinajisikiaje kuvuliwa nguo na babu yake?na ukute anamwita baby...pesa noooooma!
 
Kama ndo hivyo kweli angebakia na mke wake yule yule waliyeanzaga naye kutafuta miamia
Siyo jizeee kama hilo linachukua kidemu kisa lina hela
Ndio sababu tunawashauri mtafute kwanza pesa kabla hamjatengeneza six packs humo miilini mwenu. Bila vijana kutafuta pesa mademu wazuri wataendelea kubebwa na wazee tu. Take this note
 
Back
Top Bottom