Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

Hivi ingekuwa jimama kajichukulia kijana wangeshangilia pia????

Mbona wapo, lakini kukiwa na age difference kubwa hama hiyo lazima kuna kuwa na interest of benefits. Joan Collins mtunzi wa vitabu aliolewa na mwanume 20yrs younger than her.
 
Daaaah cjui kwa nini nimefungua hii thread roho inauma kweli. Ngoja niendelee kuzisaka one day yes tu. kweli sie wengine tunasukuma gurudumu la maisha wengine wanaishi maisha.
 
Mambo ya mjini si yawezi mimi mshamba kiaina. Wadada wa mjini wanajua kuact na mimi kuact siwezi, sina Vaseline nitapaka mafuta ya Nazi.

AHAHAHAHA...but you look like one of them....or in the near future unaweza kuwa one of them....wadada wa mujini classic.
 
Hivi wakati Mzee akimvua nguo akabakia mtupu wa nyama hako kabinti kanaweza kuukodolea macho 'mtulinga' wa huyo babu? Sipati picha!
inaelekea kakufanya kuwe kubichi kama kijana hahahahaaaaaaaaaaaaaaa

kwani hujui pesa inanunua vifaa kwa ajili ya kuondoa mikunjo ya dushelee iliwe kama kijana shauriro kama ujui
 
Hivi si kuna habari zilivuma kuwa huyu Mzee ameungua?
hata akiungua mbele ya pesa unadhani watu wanaona hilo basi tu wanafanya machukizo mbele za Mungu

sasa huyo binti si kama mwanae jamani mweeee mtoto wake anamwitaje huyo binti mama mdogo au /??????????????
 
Tafuta pesa siku hizi ukizeeka kuna antaging natural product ukitumia hunaonekana kama upo kwenye 40's kazi kwako.
 
hata akiungua mbele ya pesa unadhani watu wanaona hilo basi tu wanafanya machukizo mbele za Mungu

sasa huyo binti si kama mwanae jamani mweeee mtoto wake anamwitaje huyo binti mama mdogo au /??????????????
Kwenye kuoa na kuolewa hakuna cha umri na ubinti wa msichana ukoje wakati Mungu amekuumba ukisha vyunja hungo unakuwa tayari kuzaa.
 
Kama ndo hivyo kweli angebakia na mke wake yule yule waliyeanzaga naye kutafuta miamia
Siyo jizeee kama hilo linachukua kidemu kisa lina hela
Naskia yule mke mkubwa alikua anachepuka ndo chanzo cha meng kumuacha
 
Endeleeni kutengeneza six packs na kushinda gym kuwa mabaunsa watoto wazuri wao hela muonekano peleka benki ukalinde
 
Back
Top Bottom