Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

Umenena kweli kabisa,vijana wengi ni wabahili lakini wanapenda vitu vizuri,wakiombwa hela kidogo tu maneno kibao yanawatoka,wanaanza kumwita huyo mwanamke ni mpenda pesa, kumbe wapi ni ubahili na uchovu wao tu,vijana msione vinaelea vimeundwa,Tafuteni pesa vijana vizuri ni vingi vinawasubiri.

JE NA WEWE NI MMOJAWAPO KATI YA VITU VIZURI VINAVYOTUSUBIRIA?..SEMA MAMAA NIONGEZE KASI YA KUTAFUTA MZIGO....JUST FOR YOU BABY GIRLLL.
 
Huyu K-Lily ni mke halali wa Mengi, wamefunga ndoa kabisa sio mchepuko[/QUOTE]
Yule wa kwanza hawakuwahi kufunga PINGU za MAISHA
 
Hivi mama Mengi original yupo wapi?
nilisikia tetesi kuwa waliachana, huyo mama alimuwekea mzee sumu kwenye chakula lakini Mungu mkubwa hausigeli akamstua mzee alipotaka kupakua chakula, ikabidi mzee atoke akatafuta wakemia kikapimwa na kikakutwa kweli kilikuwa na sumu. nasikia huyo hausegeli mzee alimjengea Kinondoni kama ahsante ya kumuokoa (NI TETESI naomba saiba kraimu loo isinihusu)
 
Miaka 38 kwa miaka 60 na kitu ni mtoto,anazidiwa zaidi ya miaka 20,utajisikiaje pale utakapomkuta mwanao mwenye umri wa miaka 20 akiwa anamdate mbaba wa miaka 45?tena awe broke?
MNHHHH..KWA UMRI WA KYLN..SIONI MTOTO HAPO...GARI BOVU LINAVUTWA NA GARI ZEEZEE KIDOGO...

KYLN NI KIBIBI..SOON KITAGONGA MENOPOSE....KWELI MAISHA KOMBOLELA BUTUA UWAOKOE WENZIO...BINTI KABUTUA KAIOKOA FAMILIA YAKE SIKU YA MIRATHI YA MENGI NDIO MUTAJUA KYLN ALIMAANISHA NINI.

MIE NILIJUA YUPO KWENYE MID 20'S NA MENGI YUPO KWENYE MID 70'S SO KUNA AGE GAPE YA KAMA 50 YRS.
 
image-jpeg.341454

Duh madogo wana uhakika wa elimu bora,chakula bora,mavazi ya ukweli,mifedha ya uhakika na mwisho maisha bora hadi siku ya mwisho wa maisha yao.

Ahadi za Dr Majipu elimu bure haziwahusu madogo,kweli duniani hakuna usawa labda mbinguni.
 
nilisikia tetesi kuwa waliachana, huyo mama alimuwekea mzee sumu kwenye chakula lakini Mungu mkubwa hausigeli akamstua mzee alipotaka kupakua chakula, ikabidi mzee atoke akatafuta wakemia kikapimwa na kikakutwa kweli kilikuwa na sumu. nasikia huyo hausegeli mzee alimjengea Kinondoni kama ahsante ya kumuokoa (NI TETESI naomba saiba kraimu loo isinihusu)
Inawezekana lisemwalo lipo
 
NA WEWE UNASEMAJE KUHUSU MZEE...?...JE NI MMOJA WAPO KATI YA HAO WADADA WA MUJINI?

Mambo ya mjini si yawezi mimi mshamba kiaina. Wadada wa mjini wanajua kuact na mimi kuact siwezi, sina Vaseline nitapaka mafuta ya Nazi.
 
Back
Top Bottom