Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

Wabongo bana! Sasa mtu asifanye linalompendeza kisa aogope watu watamsema?! Sasa cha ajabu nini? Elton John na pesa zake zote kaolewa na mwanaume mwenzie mnamshangaa Mzee mengi kuoa mtoto mrembo Jackline?
Hebu waacheni wale maisha.
 
huyu mzeee nlikua namkubali biznes zake ila kija kuzaaa na k lyni ni kama mwanae kajiharibia hrshima halafu wakazaaa kabisa?? aibu hata hawaoni? kwan yule mama mengi halisi yuko wapi? kwel dunia ina meng
Mama Mengi yupo tu bukheri wa afya ila yuko wapi ni kutafuta muhali.
 
huyu mzeee nlikua namkubali biznes zake ila kija kuzaaa na k lyni ni kama mwanae kajiharibia hrshima halafu wakazaaa kabisa?? aibu hata hawaoni? kwan yule mama mengi halisi yuko wapi? kwel dunia ina meng
Kuacha na kuachwa ni mipango ya mungu mkuu usikute hata wewe hapo unamchepuko wako na siku mama zuberi akikutibua unapiga chini unaingiza mchepuko ndani maisha yanaendelea.
 
Kama ndo hivyo kweli angebakia na mke wake yule yule waliyeanzaga naye kutafuta miamia
Siyo jizeee kama hilo linachukua kidemu kisa lina hela
Ni kama kamwoa binti yake vile.
 
kweli mapenzi hayana adabu huyo babu kajichukulia kijikuu chake alafu watu wana shangilia
Mjukuu ana akili kuliko mijitu mizima, shida kaziweka mbali na kamfanya babu kuonekana kijana sana. Hongera Jaq kwa kujitambua. Iache iliyozaliwa kwa kuishi maisha ya shida iendelee kuchagua vijana wenzao wanaowakopa kila siku.
 
Back
Top Bottom