MERCIFUL
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 2,788
- 3,126
Mweeeee! 😵Mods naomba vile vi-emoji vya mtu kama anakimbia jamani, maana hapa vingehusika.Sasa nyie wanaume endeleeni kutafuta six packs mkawe mabaunsa wa kwenye clubs
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mweeeee! 😵Mods naomba vile vi-emoji vya mtu kama anakimbia jamani, maana hapa vingehusika.Sasa nyie wanaume endeleeni kutafuta six packs mkawe mabaunsa wa kwenye clubs
Mzee hata 2 packs tu hana..... Teh vijana wanahangaikia 6Mweeeee! 😵Mods naomba vile vi-emoji vya mtu kama anakimbia jamani, maana hapa vingehusika.
Umeona eeeh! Haya maisha haya! Ila binti nae kajua kutuliza akili. She is going with the flow....Mzee hata 2 packs tu hana..... Teh vijana wanahangaikia 6
Mama Mengi yupo tu bukheri wa afya ila yuko wapi ni kutafuta muhali.huyu mzeee nlikua namkubali biznes zake ila kija kuzaaa na k lyni ni kama mwanae kajiharibia hrshima halafu wakazaaa kabisa?? aibu hata hawaoni? kwan yule mama mengi halisi yuko wapi? kwel dunia ina meng
hAKUNA MAPENZI HAPO NI PESA TU. bINTI MDOGO UNAKWENDA KWA JIZEE KAMA MIMI. pESA SHETANI MKUBWA!Pesa hatari sana
Wada wa mjini wanadai mzee ni very romantic.Mzee ana miaka zaidi ya 70,laki anaonekana kijana.
Vijana wenzangu tutafute fedha ili tusizeeke.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mweeeee! 😵Mods naomba vile vi-emoji vya mtu kama anakimbia jamani, maana hapa vingehusika.
Acha wivu.kweli mapenzi hayana adabu huyo babu kajichukulia kijikuu chake alafu watu wana shangilia
Kuacha na kuachwa ni mipango ya mungu mkuu usikute hata wewe hapo unamchepuko wako na siku mama zuberi akikutibua unapiga chini unaingiza mchepuko ndani maisha yanaendelea.huyu mzeee nlikua namkubali biznes zake ila kija kuzaaa na k lyni ni kama mwanae kajiharibia hrshima halafu wakazaaa kabisa?? aibu hata hawaoni? kwan yule mama mengi halisi yuko wapi? kwel dunia ina meng
Hapana...Nipo relaxed tu!!Labda kwa sbb ni maandishi basi hauoni ile "Facial Expression" lkn i was writing in a joking Tone...Full relaxed Evelyn SaltMbona umeshikwa hasira kwani vepe.....
Ni kama kamwoa binti yake vile.Kama ndo hivyo kweli angebakia na mke wake yule yule waliyeanzaga naye kutafuta miamia
Siyo jizeee kama hilo linachukua kidemu kisa lina hela
Mjukuu ana akili kuliko mijitu mizima, shida kaziweka mbali na kamfanya babu kuonekana kijana sana. Hongera Jaq kwa kujitambua. Iache iliyozaliwa kwa kuishi maisha ya shida iendelee kuchagua vijana wenzao wanaowakopa kila siku.kweli mapenzi hayana adabu huyo babu kajichukulia kijikuu chake alafu watu wana shangilia
Kapuku una maswali mazito sanaHivi wakati Mzee akimvua nguo akabakia mtupu wa nyama hako kabinti kanaweza kuukodolea macho 'mtulinga' wa huyo babu? Sipati picha!
Umesababisha nisitishe ghafla kwenda gmySasa nyie wanaume endeleeni kutafuta six packs mkawe mabaunsa wa kwenye clubs
Kwani alichepuka na nani?Mke akichepuka anapigwa chini unaoa anayejielewa, huyy mzee hana tatizo namkubali sana