kibanga 3
JF-Expert Member
- Jul 6, 2015
- 1,380
- 977
Achana nao wana wivu wa kimaskini hao hawashangai manabii kuoa watoto wadogo miaka kumi na mbili eti wanamshangaa mengi kuoa binti mrembo hiyo ndio kazi ya hela eboooo?Mkeo akichepuka na wewe una hela unafanyaje mkuu.
Huyu K-Lily ni mke halali wa Mengi, wamefunga ndoa kabisa sio mchepuko