Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,051
- 5,104
wee Serengeti boy unajipenda ujisogeze hapo ukafe kwa chuma? kwanza mtakutana wapi na huyo binti kama bia anakunywa Mayami wee unanywea Tandale kwa tumboHivi huyu dada anafikishwa kileleni na hicho kibabu? Au kuna kaserengeti boyz kanamsaidia babu?
huyu mzeee nlikua namkubali biznes zake ila kija kuzaaa na k lyni ni kama mwanae kajiharibia hrshima halafu wakazaaa kabisa?? aibu hata hawaoni? kwan yule mama mengi halisi yuko wapi? kwel dunia ina meng
Ahaaaaa vijana wana uchu sio mkuu???? Wazee hawa pigi komoa kispoti kimoko cha afyaVibabu vyenye hela viko vzuri hasa wanajali vijana pasua kichwa hafu wabahili wakitaka mechi wanasugua huku hawatoi kitu. Bora klyn na babu yake
We acha tuh, wakubwa wanafaidi!!wee Serengeti boy unajipenda ujisogeze hapo ukafe kwa chuma? kwanza mtakutana wapi na huyo binti kama bia anakunywa Mayami wee unanywea Tandale kwa tumbo
Na Trump je mbona hamumusemi?pia uncle Bob,mwacheni Machache ajilie bata,wale wengine walibaki kukimbiza ndege wakati si waoaji,unadhani huyu binti angeolewa kweli na mmatumbi wa KilwaPesa inaongea, kuna jamaa ana miaka 42 kamuoa dada mwenye miaka 23 dah!
Shikamoo pesa
Mkuu unajua chanzo cha ndoa ya awali kuvunjika unaijua?Kama ndo hivyo kweli angebakia na mke wake yule yule waliyeanzaga naye kutafuta miamia
Siyo jizeee kama hilo linachukua kidemu kisa lina hela
Hapa chini[emoji116] [emoji116]Hivi mama Mengi original yupo wapi?
Mkuu unajua chanzo cha ndoa ya awali kuvunjika unaijua?
Je ukitoka safarini ukakuta kidume ndani kinamhudumia mkeo mambo yale utavumilia?
Waya ni kitu ya masikiniHivi si kuna habari zilivuma kuwa huyu Mzee ameungua?
Mkuu unajua chanzo cha ndoa ya awali kuvunjika unaijua?
Je ukitoka safarini ukakuta kidume ndani kinamhudumia mkeo mambo yale utavumilia?
Mkuu age gap kwanza ni kubwa mno, hao Ryan na Jayden wangeweza kuwa wajukuu wa ReginaIla mh pamoja na hao twins kuwa na uhakika wa fwedha for the rest of their lives, sidhan kama Ryan na jayden watakuwa wanapendwa na wakubwa zao (Regina na Abdiel) maana hiz chuki kati ya ndugu, Regina na abdiel probably watakuwa wanawaonea wivu hao twins, cjui lakini QUIGLEY Sky Eclat tracy martins Heaven Sent
Mara nyingi watoto wa nyumba kubwa na ndogo ni mara chache kupendana, lakini inategemea akili ya mke mdogo, ikiwa mke mdogo anaipenda familia ya mengi hususani watoto bila shaka hawa mapacha watapendwa pia.Ila mh pamoja na hao twins kuwa na uhakika wa fwedha for the rest of their lives, sidhan kama Ryan na jayden watakuwa wanapendwa na wakubwa zao (Regina na Abdiel) maana hiz chuki kati ya ndugu, Regina na abdiel probably watakuwa wanawaonea wivu hao twins, cjui lakini QUIGLEY Sky Eclat tracy martins Heaven Sent
Mkuu hao watoto wa Mengi kwa Jacquline ni kama aunt na uncle zake. Mjini pesa heshima kijijini kwenuMara nyingi watoto wa nyumba kubwa na ndogo ni mara chache kupendana, lakini inategemea akili ya mke mdogo, ikiwa mke mdogo anaipenda familia ya mengi hususani watoto bila shaka hawa mapacha watapendwa pia.
Unamaanisha Pesa Ndo kila kituShikamoo pesa
Jambo usilo lijuwa kama kiza kinene. Bora ungekaa kimya maisha ya watu hayakuhusu.Kama ndo hivyo kweli angebakia na mke wake yule yule waliyeanzaga naye kutafuta miamia
Siyo jizeee kama hilo linachukua kidemu kisa lina hela