Mzee Mengi na Jacqueline maisha ni motomoto,wakubwa wanafaidi

Kama ndo hivyo kweli angebakia na mke wake yule yule waliyeanzaga naye kutafuta miamia
Siyo jizeee kama hilo linachukua kidemu kisa lina hela
Msiwapangie watu matumizi,
 
HIV in wapi biblia imeandika hoa mwanamke miaka fulani au olewa na mwanaume miaka fulani
 
Hata mahindi yakuchoma machanga ndio matamu.
Mzee kula maisha
 
Wakinga hao kabila LA kikuda sana hili wengi wana roho mbaya na hawapendi maendeleo ya wengine kwa makete eti Bulongwaa takataka tu Ccm wanakwambia mbele kwa mbele sijajua hawa watu wana raha gani? Fyuuuuu
 
yani nimecheka sana hizi chats leo...mara apeche alolo,vibabu,mjukuu,six packs uwe baunsa wa clubs, iphone tu kulalamika nkπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Safi sana wamependeza kama vile madam Flora "Mbasha" alivyopendeza na mumuwe mpya Daudi
 
Kama ndo hivyo kweli angebakia na mke wake yule yule waliyeanzaga naye kutafuta miamia
Siyo jizeee kama hilo linachukua kidemu kisa lina hela
Watafuteni wanaume waliioa wachaga waulizeni wake zao vipi, wako sawa!? Mwacheni Mzee Mengi mlitaka afe mapema kwa presha za mkewe wa kichaga asiejua hata kumpa pole mumewe akitoka kazini? Achilia mbali kushindwa hata kumpikia chai!!

Na aliewambia mwanaume anazeeka nani? Kama mitata inasoma fresh mwanaumbe anapiganmzigo hadi miaka 80! Hana expired date
 
Pesa nzuri sana ingekua cyo pesa ako kabint kangegegedwa na michemba daily
 
Kama demu hana mzigo wa haja mi sioni kipya kwake,Huyo kyelin mwenyewe flat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…