Mzee Mkapa (RIP) aliomba Tume Huru anazawadiwa Kiwanja cha Mpira

Nimefuatilia leo kwenye sherehe za kumuaga Rais Mtaafu BW Mkapa. Kilichotokea ni kuwa Rais ameamua kuwa Uwanja wa Mpira Uitwe Uwanja wa Mkapa kama watu wengi walivyopendekeza.

Pia, alisema kuwa Mzee Mkapa hakupenda jina lake liwe kwenye kumbukumbu kama hizo lakini kwa vile hayupo basi ameamua kufanya hivyo.

Wazo langu ni kuwa Mzee Mkapa alitamani Tanzania iwe na tume huru ya Uchaguzi. Na hili ameliongelea hadharani. Sasa kwa nini anaenziwa kwa kupewa vitu ambavyo hakuvitamani wala kuvitaka badala yake kupewa vitu alivyotamani Tanzania tuwe navyo.

Nafikiri Mzee Mkapa angefurahi huko aliko kama angesikia kuwa tunaunda tume huru ya Uchaguzi ya B.W Mkapa (Independent Electoral Commission of B.W Mkapa).
Akili unazo mkuu, sikuwaza jambo hili
 
Nafikiri kati ya thread zote kuhusu Marehemu Mkapa..wewe ndiye unaandika kitu cha maana kabisa kabisa!! JF ilitakiwa ikutunuku.

Tulitegemea mkuu wa nchi katika kuhitimisha safari ya mpendwa wetu Rais mstaafu basi angeyaongelea yale yote ambayo Mzee aliyaona kama changamoto katika maisha ya uongozi wake ili ayape way forward.

Hapa ndipo unaona tofauti kati ya sisi waafrica na Wazungu.
 
Tutamuenzi kwa Mkapa day pia

R. I. P mzee benja

Ova
 
Nimefuatilia leo kwenye sherehe za kumuaga Rais Mtaafu BW Mkapa. Kilichotokea ni kuwa Rais ameamua kuwa Uwanja wa Mpira Uitwe Uwanja wa Mkapa kama watu wengi walivyopendekeza.

Pia, alisema kuwa Mzee Mkapa hakupenda jina lake liwe kwenye kumbukumbu kama hizo lakini kwa vile hayupo basi ameamua kufanya hivyo.

Wazo langu ni kuwa Mzee Mkapa alitamani Tanzania iwe na tume huru ya Uchaguzi. Na hili ameliongelea hadharani. Sasa kwa nini anaenziwa kwa kupewa vitu ambavyo hakuvitamani wala kuvitaka badala yake kupewa vitu alivyotamani Tanzania tuwe navyo.

Nafikiri Mzee Mkapa angefurahi huko aliko kama angesikia kuwa tunaunda tume huru ya Uchaguzi ya B.W Mkapa (Independent Electoral Commission of B.W Mkapa).

Kuundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi ni jambo zuri.... Lakini hili jambo muhimu ni sharti liwe hitaji la wananchi wala si wanasiasa... Tukiwapa hilo jukumu wanasiasa litafeli kama Katiba Mpya ilivyofeli...!
Amasisheni wananchi kwa wingi wao watambue umuhimu wa Time Huru ya Uchaguzi
 
Kama aliomba ina maana alitegemea majibu ya YES or NO na kapewa NO.

Mwinyi naye kaomba kuondoa mihula ya urais hadharani mara nyingi zaidi hata ya Mkapa,vipi kuhusu hilo?
 
Nimefuatilia leo kwenye sherehe za kumuaga Rais Mtaafu BW Mkapa. Kilichotokea ni kuwa Rais ameamua kuwa Uwanja wa Mpira Uitwe Uwanja wa Mkapa kama watu wengi walivyopendekeza.

Pia, alisema kuwa Mzee Mkapa hakupenda jina lake liwe kwenye kumbukumbu kama hizo lakini kwa vile hayupo basi ameamua kufanya hivyo.

Wazo langu ni kuwa Mzee Mkapa alitamani Tanzania iwe na tume huru ya Uchaguzi. Na hili ameliongelea hadharani. Sasa kwa nini anaenziwa kwa kupewa vitu ambavyo hakuvitamani wala kuvitaka badala yake kupewa vitu alivyotamani Tanzania tuwe navyo.

Nafikiri Mzee Mkapa angefurahi huko aliko kama angesikia kuwa tunaunda tume huru ya Uchaguzi ya B.W Mkapa (Independent Electoral Commission of B.W Mkapa).
Enzi za Utawala wake hiyo Tume huru ilikuwepo? Aliona umuhimu wake baada ya kutoka Madarakani?

Heshima ya Uwanja Wa Taifa naona inamtosha kabisa.

Poleni wafiwa.
 
Mzee Mkapa ametoa madarakani karibu miaka 15 iliyopita. Sasa kwa nini hakuomba 2010 au 2015 anaomba 2019!?
 
Kuundwa kwa Tume Huru ya Uchaguzi ni jambo zuri.... Lakini hili jambo muhimu ni sharti liwe hitaji la wananchi wala si wanasiasa... Tukiwapa hilo jukumu wanasiasa litafeli kama Katiba Mpya ilivyofeli...!
Amasisheni wananchi kwa wingi wao watambue umuhimu wa Time Huru ya Uchaguzi
Ila bila wanasiasa kukubali kunaweza kusababisha matatizo makubwa kama vile ya umwagaji damu.

Wanaomlilia na kudai wanamuenzi Mkapa wanakula means na uwezo wa kufanikisha ndoto yake ambayo Labda hakuweza kufanya wakati Ule kwa sababu fulani lakini alifikiria kuwa kijana wake at aweza kufanikisha.
 
Maneno ya wanasiasa huwa sio ya kweli, ata shetani akizeeka hubadilika na kuwa malaika,

Katika utawala wake je aliunda tume huru ?

R.I.P raisi wangu wa primary school
 
Alipaswa aiombe soon alipoingia ikulu kwa mara ya kwanza yeye. Lakini kakaa miaka 10 kaondoka halafu ndio aombe, huo ni uongo na unafiki.

Mnadhani kwanini Magufuli haitaki, kwasababu yeye ndiye itamuathiri. Hata yeye akimaliza miaka 10 Naweza kuomba tume huru.

Hata kikwete aliunda tume ya warioba mwishoni mwa miaka yake 10, akijua yeye hata athirika.
 
Ila bila wanasiasa kukubali kunaweza kusababisha matatizo makubwa kama vile ya umwagaji damu.

Wanaomlilia na kudai wanamuenzi Mkapa wanakula means na uwezo wa kufanikisha ndoto yake ambayo Labda hakuweza kufanya wakati Ule kwa sababu fulani lakini alifikiria kuwa kijana wake at aweza kufanikisha.

Huyu kijana wake hana jipya zaidi ya kulialia...
Na nahisi kakatwa mkia kabisa... Mbeleko yake imekatia pabaya... Ukimuangalia usoni na mwendo wake wa kunyata nyata unaona dalili za kuwa keshafika machweo..!!
 
Back
Top Bottom