kibongemdudu
Member
- Jul 31, 2015
- 40
- 1
Nadhani Mzee Mkapa kasahau Upumbavu wake alipodundwa kiti ya cha kiuno na Mama Anna pale ikulu miaka ya late 90's.
Naomba mwenye ile taarifa atupandishie hapa wakuu!
Lakini Mwanaume mpumavu na Lofa uazimwa Mke na mwanaume mwenzake na yeye kumpa madaraka kama shukrani.
Nadhani Mzee Mkapa kasahau Upumbavu wake alipodundwa kiti ya cha kiuno na Mama Anna pale ikulu miaka ya late 90's.
Naomba mwenye ile taarifa atupandishie hapa wakuu!
Na hapa ndipk Mkapa alipowaweza nyie wapumbavu. Kudhihirisha kuwa ni wapumbavu na malofa, mmeacha kumnadi mgombea wenu ambaye hata kuongea haweziusimwite tena mzee sema lizee.
Naungana na mkapa wapumbazi kabisa tena mlofaRais mstaafu B.W.Mkapa kanikwaza sana kwa kauli aliyoitoa ya kutuita watanzania tunaotaka ukombozi kutokana na changamoto zinazotukabili kuwa ni wapumbavu na malofa.
Hivi kweli mimi kwa mfumo huu uliopo unaonifanya kuwa maskini kutokana na mazao yangu kunyimwa bei nakuwa mpumbavu na lofa?
Huku niliko natembea zaidi ya Km 10 kwenda zahanati nako sipati dawa kweli nikidai ukombozi nakuwa mpumbavu na lofa?
Mtoto wangu anasoma shule ya kata yenye walimu wanne wanaofundisha kidato cha kwanza hadi cha nne. Nikidai mabadiliko mimi ni mpumbavu na lofa?
Jamani tulioitwa wapumbavu na malofa tuorodheshe kero zetu hapa.
Rais mstaafu B.W.Mkapa kanikwaza sana kwa kauli aliyoitoa ya kutuita watanzania tunaotaka ukombozi kutokana na changamoto zinazotukabili kuwa ni wapumbavu na malofa.

Na hapa ndipk Mkapa alipowaweza nyie wapumbavu. Kudhihirisha kuwa ni wapumbavu na malofa, mmeacha kumnadi mgombea wenu ambaye hata kuongea hawezi