Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

Rais mstaafu B.W.Mkapa kanikwaza sana kwa kauli aliyoitoa ya kutuita watanzania tunaotaka ukombozi kutokana na changamoto zinazotukabili kuwa ni wapumbavu na malofa.
Hivi kweli mimi kwa mfumo huu uliopo unaonifanya kuwa maskini kutokana na mazao yangu kunyimwa bei nakuwa mpumbavu na lofa?
Huku niliko natembea zaidi ya Km 10 kwenda zahanati nako sipati dawa kweli nikidai ukombozi nakuwa mpumbavu na lofa?
Mtoto wangu anasoma shule ya kata yenye walimu wanne wanaofundisha kidato cha kwanza hadi cha nne. Nikidai mabadiliko mimi ni mpumbavu na lofa?
Jamani tulioitwa wapumbavu na malofa tuorodheshe kero zetu hapa.

....itasaidia?
 
Mabadiliko unayadai kwa mtu aliyetemwa aka makapi? Halafu huyo huyo akaenda kununuwa nafasi kugombea urais kwa wachagga.

Kama huo si upumbavu na ulofa ni nini?
Unaakili kuliko Mohamed Saidi, hongera sana Boko haram!
 
Hata hayaelewi...Leo yameamka yanajiita "WAPUMBAVU..MALOFA....
BM hakukosea
 
Sasa kama si utaahira kuna ukombozi tena mnaoutafuta? Waulizeni babu zenu walioutafuta ukaupata huo unaokufanya uweze kuongea! Ni utaahira kudhani utabadilisha mfumo kwa kuchagua walokulia kwenye mfumo huohuo, wakapewa majina kadhaa ya kashfa na kuitwa wafilisi wa nchi! Leo mnadandia wote mnasema eti mabadiliko?! Watanzania mmerogwa au kuna jambo limefichika hapo kwenye kundi hilo?

Aise we we ninani mpaka useme watanzania wamelogwa.we we ni mzungu unakuja kutiingilia kwenye maamuzi yetu !!!??? Tuwache wapumbavu katika upumbavu wetu .na nenda mwambie Mkapa kwakutuita wapumbavu.tumemvumilia kutokana na sheria mpya ya mtandao.vinginevyo wengine tumeapa Lowasa siku akiapishwa tupewe masaa 6 yakutoa yaliyo moyoni .kujibu kuitwa wapumbavu na malofa.subiri
 
Sasa kama si utaahira kuna ukombozi tena mnaoutafuta? Waulizeni babu zenu walioutafuta ukaupata huo unaokufanya uweze kuongea! Ni utaahira kudhani utabadilisha mfumo kwa kuchagua walokulia kwenye mfumo huohuo, wakapewa majina kadhaa ya kashfa na kuitwa wafilisi wa nchi! Leo mnadandia wote mnasema eti mabadiliko?! Watanzania mmerogwa au kuna jambo limefichika hapo kwenye kundi hilo?

Ni kweli sisi malofa tumerogwa sana........lakini wacha tutoke nje tuote jua........tukiungua......ndio tutajua kipimo cha ujuha wetu tutarudi kwenye kivuli.......lakini kwa sasa uzuzu wetu unatushauri hivyo........wacha tuone kuna nini huko...........
 
Rais mstaafu B.W.Mkapa kanikwaza sana kwa kauli aliyoitoa ya kutuita watanzania tunaotaka ukombozi kutokana na changamoto zinazotukabili kuwa ni wapumbavu na malofa.
Hivi kweli mimi kwa mfumo huu uliopo unaonifanya kuwa maskini kutokana na mazao yangu kunyimwa bei nakuwa mpumbavu na lofa?
Huku niliko natembea zaidi ya Km 10 kwenda zahanati nako sipati dawa kweli nikidai ukombozi nakuwa mpumbavu na lofa?
Mtoto wangu anasoma shule ya kata yenye walimu wanne wanaofundisha kidato cha kwanza hadi cha nne. Nikidai mabadiliko mimi ni mpumbavu na lofa?
Jamani tulioitwa wapumbavu na malofa tuorodheshe kero zetu hapa.

Wewe huoni upumbavu ulofa, Tanzania ni kubwa zaidi ya upande wa " viongozi wa malofa ", upinzani sawa ni muhimu sana ili nchi iendelee. Ila huwezi kuwa na chama chenye viongozi wa sehemu moja,kwani hakuna wengine bwana. Ndio ulofa huo.
 
Rais mstaafu B.W.Mkapa kanikwaza sana kwa kauli aliyoitoa ya kutuita watanzania tunaotaka ukombozi kutokana na changamoto zinazotukabili kuwa ni wapumbavu na malofa.
Hivi kweli mimi kwa mfumo huu uliopo unaonifanya kuwa maskini kutokana na mazao yangu kunyimwa bei nakuwa mpumb
 
Limkapa si Lipumbavu tu, pia ni libwege dada Anna alikuwa analiwezea kweli make alikuwaga analing'uta pale ikulu na vyombo lilikuwaga linaosha hili liPimbi. Dadadeki Dada Anna ilibakigi kidogo alinyofoe mguu.
 
It all went well until former President Benjamin William Mkapa stepped to the microphone. He was well received. The sheer mention of his name brought the audience to their feet. A lot of people still appreciate what he did for the country after taking over from President Mwinyi who is believed to have buried the whole idea of a young nation ready to grow. Mkapa had to “bring back” the country and we all agree, he did a good job.

Now Mkapa, who is known to be easily agitated and with a quick temper didn’t take long before he threw a jab that he shouldn’t have. He called all who talk about “country’s liberation “idiots and paupers”. Understandably (if we may) he was throwing a jab to his former Prime Minister, Fredrick Sumaye, who joined the opposition coalition, UKAWA, just the other day. In any case, he shouldn’t have called Sumaye that. You look unwise by throwing such punches to someone you handily selected and worked with for over 10 years. You fill the room with darkness.

He had gone off on a tangent, so to speak. The arrogant and bully like behavior was written all over his face. The immediate reaction through social media vents was enough to indicate that President Mkapa had landed himself in the hot water. He had overstepped the mark. Over the years he had acquired skills (probably) but not wisdom. Without a doubt had put a dent into what would probably be a good day of campaign for CCM and her candidate Dr. John Pombe Magufuli.

What Mkapa failed to realize is that we live through/ in different times. People have right to think and act differently. That doesn’t make them “idiots and paupers”. It makes them people/citizens who think differently. He should know that the definition of Liberation doesn’t only mean political but could also mean the act or fact of gaining equal rights or full social or economic opportunities for a particular group. Don’t we all know that Tanzania (and therefore Tanzanians) is still hurting economically? Doesn’t Mkapa know this simple fact?

He should have known better how to choose his words but also to try to understand what other people are saying before jumping into conclusion that are obviously going to make him go down in history as an old man who lost all his senses. In my opinion, he should apologize. What he said was offensive and shouldn’t have happened. According to Tanzania’s constitution everyone has a right to march to a different drummer. This is 21st century.

Let us vote for UKAWA.
 
Rais mstaafu B.W.Mkapa kanikwaza sana kwa kauli aliyoitoa ya kutuita watanzania tunaotaka ukombozi kutokana na changamoto zinazotukabili kuwa ni wapumbavu na malofa.
Hivi kweli mimi kwa mfumo huu uliopo unaonifanya kuwa maskini kutokana na mazao yangu kunyimwa bei nakuwa mpumbavu na lofa?
Huku niliko natembea zaidi ya Km 10 kwenda zahanati nako sipati dawa kweli nikidai ukombozi nakuwa mpumbavu na lofa?
Mtoto wangu anasoma shule ya kata yenye walimu wanne wanaofundisha kidato cha kwanza hadi cha nne. Nikidai mabadiliko mimi ni mpumbavu na lofa?
Jamani tulioitwa wapumbavu na malofa tuorodheshe kero zetu hapa.

Nadhani apewe tena muda ili afafanue alikua anamaanisha nini wakuu maana mzee kama yule itabidi abadili kauli au kuifuta kabisa kutokana na heshima yake.
 
Mkapa atajuta kutumia haya maneno. Maana yake inaonekana yatatumika kuimaluza ccm!

Umeona ni kama wametupa kauli mbiu ya kuigaragaza ccm.Mungu Mkubwa .sasa in wakati wa wapumbavu na malofa kuchukua nchi.
 
Mimi binafsi sipingi mabadiliko. Ila mabadiliko haya mbona anataka lowassa..Kwani Ukawa ilikuwa haina mgombea uraisi..mpaka kaja jamaa baada ya kukatwa na ukawa wakampa nafasi ya kuwania uraisi..kama ni hivyo basi chama bado kichanga wajipange tena msimu ujao watakuwa vizuri..ila kwa sasa wana jichanganya tu..
 
Mkapa amesema wote tunaohubiri ukombozi wa nchi hii tu wapumbavu na malofa.Nashangaa mnakasirika nini!Amesema CCM bado inaendelea na ukombozi wa kiuchumi kupitia serikali za awamu zote na hata Magufuli pia.Yaani pale pale na yeye akahubiri "ukombozi" ule ule unaohubiriwa na vyama vya siasa,na kwa mujibu wake yeye,kumbe hata CCM nayo inapigania huo ukombozi kama alivyodai,na hivyo nayo ni mojawapo ya hivyo vyama.Kwa hiyo kumbe sote tupo upande mmoja.Sote tu wapumbavu na malofa(ndio maana nchi yetu bado ni maskini pamoja na rasilimali lukuki zizilizopo).Basi nampa hongera baba Mkapa kwa kujitambua yeye ni nani.Ukizingatia kasema Magufuli ataendeleza "ukombozi",maana yake yeye na JK hawakufanikiwa kumaliza umaskini wa watz,hivyo ile kazi ya "kipumbavu na kilofa" aliyoifanya yeye,jk na CCM na watz wote wapambanaji kwa ujumla wetu,bado itaendelezwa na Magufuli.Nimekuelewa baba Mkapa,ulijinasibu kuukomboa uchumi wa nchi,wakati huo nilikuwa masomoni ili kujikomboa kielimu.Kazi nzuri mimi na wewe tumefanya.Kazi ya "kipumbavu na kilofa".Kwa hiyo upumbavu na ulofa wenu wewe na CCM sasa mnamkabidhi Makufuli?!Basi haya!Mie wa kwangu bado nauendeleza mwenyewe.
 
Back
Top Bottom