Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

Malofa na wapumbavu hawaishiwi na vituko.

Kituko cha mwaka, yule mliyemuita fisadi leo yuko juu kwenye chama cha wapumbavu kuliko Katibu Mkuu wake.

Hivi Katibu mkuu wa malofa kaishia wapi?

'Birds of the same feather flock together/Birds of a feather flock together' Kama JK ni swahiba wa Lowasa na Lowassa ni fisadi you can do the math!
 
liberation from mental slavery which ccm has induced to people minds that the country is poor while has been endowed with abundant natural resources, UKAWA needs to liberate people from this. Second CCM has forced Tanzanians to believe without it no peace UKAWA needs to liberate people from this fallacy and show how speedy development can be attained without CCM.
 
Wana JF Heshima kwenu.

Mithali 26:5
Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake.

Aidha neno upumbavu limeandikwa zaidi ya mara 46 katika Biblia. Mfano :-

Mithali 14:1 Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.

Mithali 9:13 Mwanamke mpumbavu hupiga kelele, Ni mjinga, hajui kitu.

Aidha Rais wa kwanza wa TZ; Mwl Nyerere amekuwa akitumia neno hili mara nyingi sana. Huko ndiko Mhe. MKAPA alipojifunzia. (Nimeshindwa kuweka video clip msaada plz)

Mhe. Sugu alipotumia neno mpumbavu pale mjengoni UKAWA walimtetea. Leo kwao limetumika imekuwa nongwa kwenye mitandao. Kweli nyani haoni naniii yake.

Mhe. Mkapa ni Mkristo mzuri mwenye kusoma Neno la Mungu kila wakati. Alichofanya ni kujibu hoja ambayo ameipima na kuiona ni ya kipumbavu ili walioitoa wasijione wana akili.

Nani asiyejua Mhe. Sumaye alibatizwa jina la utani la ZIRO!!! Kwanini mlimuita hivyo na Kipanya alichora katuni nyingi za ZIRO. Mhe. Mkama anamjua sana Mhe. Sumaye. Hivyo amemjibu SAWASAWA na UPUMBAVU wake. Mbona wanawake tunapohubiriwa tusiwe wapumbavu hawasemi wametukanwa???


Hakuna shida hapo, message sent and delivered.

Queen Esther

kama nikuone vile nikupe BIG UP yako Queen!
 
Malofa na wapumbavu hawaishiwi na vituko.Kituko cha mwaka, yule mliyemuita fisadi leo yuko juu kwenye chama cha wapumbavu kuliko Katibu Mkuu wake.Hivi Katibu mkuu wa malofa kaishia wapi?
Mkapa ni jembe ana kichinjio cha Alshabab, atakisaidia sana kuwashughulikia malofa wanaovunja vituo vya polisi na kupora silaha!
 
11880374_738551432923428_3510802968194476253_n.jpg

The answers

Hapo piga 5000 mara hao watu wote. CCM mafisadi sana. Mimi na wenangu nyomi tulijaziwa mafuta hapa 11873428_1015315508521293_1389816691280798336_n.jpg
 
Mwisho wa yote october 25, aibu yako au aibu yangu. TATU BILA!

Angekua Slaa angalau angeleta ushindani lakini huyu ambaye wenyewe mlimwita fisadi ila leo mnasaliti kauli zenu kwa ujanja wa mwenyekiti kupiga pesa akulu mtaisikia kwenye bomba
 
Wapumbavu ni wepesi sana kujishuku. Mzee Mkapa amedhihirisha kile kilichoko kichwani mwake na ndio maana anaishi na mke wa mtu na bado anadhibitiwa hana sauti.
 
Wapinzani ni malofa kwelu na hawajitambui
 
Udiropoke tu mkuu, unaelewa idadi wanachama wote wa CHADEMA, CUF,NCCR,NLD na vyama Vingine? Wasiokua na vyama idadi yao unaijua? Idadi ya under 18 ambao ni sawa na wajukuu wa Mkapa ambao wamemdharau unaijua?
Mkuu mimi nimekuonyesha takwimu kidogo tu hapo. Wasiokuwa wanachama wa vyama vya siasa ni wengi sana kuliko unavyofikiria. Waliojiandikisha wanaweza kuwa milioni 22, lakini watakaopiga kura siyo idadi hiyo! Wengi wamejiandikisha kwa sababu zao binafsi kama kusajili line, kuwekeana dhamana mahakamani, kufungulia akaunti benki, kupatia tiketi za treni (Kigoma) n.k. Kwa hiyo usijipe matumaini kuwa nusu ya watanzania ni upinzani au watapigia upinzani.
 
Go Ben go, shughulikia malofa wote warudi tena shimoni....tena kaka Nkapa wengine JK kawasogeza wapo keko yeye Pombe anamaliza tu! Mwenyeheri Nyerere utuombee!!
 
Kuna mda mwingine unweza kutukana kumbe ni Mzee navujinga wake Mpk jana kaboa sn
 
Jana mzee Mkapa alimwaga radhi, CCM nayo ikamwaga radhi.

Rais wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, alipopata wasaa wa kuhutubia maelfu ya wanachama wa CCM waliokuwa uwanjani wa Jangwani, alirusha kijembe kwa wapinzani na kusema wanaosema wanatafuta ukombozi ni wapumbavu na malofa.

"Kuna vyama vinajifanya vinataka kuleta ukombozi, ukombozi uliletwa na ASP na Tanu, hao wanaojiita vyama vya ukombozi ni wapumbavu, … ni malofa, nchi hii ilikwisha kombolewa na sasa inaendelea kuiomboa kwa kupambana ana umasikini, ujinga na maradhi na ndo kazi imekuwa ikifanywa na serikali zote zilizopita kuanzia ile ya awamu ya kwanza na hii inayokuja itafanywa na serikali ya Dk. Magufuli," alisema.

Mzee niliyemzoea kwa hoja zenye mashiko na takwimu akageuka mlevi asiyejiheshimu.

Kweli ufalme wa CCM umefitinika.Kati ya mambo ambayo kwa muda mrefu yamekuwa yakiitofautisha brand ya CCM na Upinzani ni kule kutumia lugha zenye staha,kuhubiri amani na kuiishi.Jana rasmi CCM imevunja ndoa yake na sifa hizi.

Sasa tunaanza kupata picha tukimtazama Makonda, baadae Nape,Wasira,Kamani,Job Ndugai na sasa Mkapa tunaona CCM mpya inayozaliwa; brand ya ngumi,matusi na lugha za mihemko.

Mimi niwaambie tu,busara na hekima ni tunu ila ujinga hafundishwi mtu.Ni suala la kuamua tu!

Magufuli karibu UKAWA,you are a good manager but not a leader.





Tena hakumsikia Vizuri mwishoni alisema fisadi lowasa na genge lake ni -------!
 
Nilikuwa na mheshimu sana Mzee Mkapa na nashindwa kuelewa jana either ni nin alitumia kabla ya kupanda pale jukwani haikuwa akili yake...Na amearibu historia yake aliyokuwa amejijengea kwa wananchi .

Laana ya mwalimu...
 
Kila siku huwa najiuliza , na nimejaribu kuwaza sana sijapata jibu ,ebu watu wenye akili zao wanisaidie kunipa majibu kwani kuuliza si ujinga .

Hivi mtanzania anayeishi na mke wake tangu ujana wake hadi uzeeni na yule ambaye aliyeachana na mke wake kwa miaka kadhaa halafu akaenda kumrudia tena na kukubali kutunza watoto wa mtu mwingine nani lofa hapo.

Lakini mbili mzee ambaye anaishi na mke wake hadi uzeeni na mzee ambaye anaishi pekee yake huku akidai anaishi maisha ya kizungu wakati mswahili pure, nani lofa hapo .

Tatu , mzee uliyeruhusu kufungwa gori la nje wakati wa ujana wako na ukalazimishwa na watu ulikubali kwa sababu wewe ndio chanzo la goli hilo kwa sababu ya kutotimiza majukumu yako kama straiker katika uwanja kwa kutofunga magoli na mtanzania wa kawaida uliyeweza kuzuia magori ya nje katika mechi zako za home ground yako kwa kipindi chote cha ujana wako ,nani lofa hapo na mpumbavu.

Nne na mwisho mzee aliyeamua kukimbia kwake baada ya kupata cheo na kuhamia sehemu nyingine kabisa na mzee aliyeamua kula uzee wake na ndugu na jamaa zake katika eneo lake alilozaliwa , nani lofa na mpumbavu Hapo.

Story hii haina mahusiano na mtu yeyote wa Tanzania kwa sababu Tanzania ni nadra sana kukuta matukio kama hayo.
 
nchi hii ilishakombolewa na wazee wetu wakiongozwa na mw. nyerere miaka dahali iliopita sasa anakuja mtu anasema anataka kutukomboa ni ukosefu wa akili tena narudia mpumbavu mkubwa

Ukombozi unaozungumzwa ni ujinga,maradhi na umaskini sasa katika hayo ni kipi ccm imetukomboa nacho? wewe mwenyewe suruali yako ina viraka kila mahali embu jaribuni kufikiri kama great thinkers.
 
Malofa na wapumbavu hawaishiwi na vituko.

Kituko cha mwaka, yule mliyemuita fisadi leo yuko juu kwenye chama cha wapumbavu kuliko Katibu Mkuu wake.

Hivi Katibu mkuu wa malofa kaishia wapi?
Faiza hi!
You are too critical!
Don't dwell on small things,CCM imeshindwa na wewe usikae kibanda kinachoungua.
Siri; "torika uje"
 
Back
Top Bottom