Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Mkapa alikuwa sahihi, hapo singida wamekula harage ya wapi haooooooo?
Ungetulia kidogo na kuruhusu nafsi yako ikupe ukweli juu ya kosa la Mzee Mkapa ingefaa zaidi kuliko hizo hoja za "maharage" ambazo hazina tija kabisa. Too much of anything is good for nothing!!!.