Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

Elections 2015 Mzee Mkapa: Wanaosema Wanataka Kuikomboa Tanzania ni Wapumbavu na Malofa

inakupa taswira ya kilichotokea kikaoni katika mchakato wa kupitisha majina matano cc........ni ubabe,ukosefu wa busara,jazba,hamaki na kila aina ya uzandiki......
 
Ameyasema hayo akiongea na EATV, amesema kampeni za namna hiyo zinaweza zikavuruga amani ya nchi!
 
Attachments

  • 1440415934242.jpg
    1440415934242.jpg
    50.7 KB · Views: 226
sijawahi kukoment kitu ila ukweli mkapa hapa umekula ukashiba sasa umeamua kukufuru umeamsha hata tuliofunga vinywa vyetu hakika cntatumia hizo kalamu zenu za kichina obama yatosha kuwaliza
 
Ana hasira Nyerere alimkabidhi nchi na chama kikiwa wamoja leo iko vipande vipande.na lazima awe mkali ccm ikitolewa madakani si na yeye atakuwa shakani kwa hiyo lazima awe kama faru.
 
inakupa taswira ya kilichotokea kikaoni katika mchakato wa kupitisha majina matano cc........ni ubabe,ukosefu wa busara,jazba,hamaki na kila aina ya uzandiki......
Nusu ya watanzania wote wako upinzani!
Kwa tusi hilo amemponza sana Magufuli.Sasa vyombo Vingi vya habari vya ndani na nje ya nchi vinajadili tudi hilo"STUPID"
 
Kila kona ya nchi watu wanajadili matusi aliyoyatoa jana kwenye kampeni, watu wana hasira naye wamesema hawataki kumwona muda wa kampeni na watajua namna ya kumwadhibu yeye na chama chake!
Hapa Mjini Singida kila kona Si kwenye dala dala, boda boda,baa,kawahawa hali si shwari wehuzunishwa sana na kauli za mzee huyo.

My take;
Mkapa amemuangusha Magufuli hivi hivi!Nasikitika kua amemponza mwenzake vibaya;

mawazo yako mwenyewe lakini wakati mwingine mnaudhi
 
Ubinafsishaji ndio umechangia ulofa wetu kwani viwanda vingi viliuzwa na kugeuzwa magodown.
 
Kila kona ya nchi watu wanajadili matusi aliyoyatoa jana kwenye kampeni, watu wana hasira naye wamesema hawataki kumwona muda wa kampeni na watajua namna ya kumwadhibu yeye na chama chake!
Hapa Mjini Singida kila kona Si kwenye dala dala, boda boda,baa,kawahawa hali si shwari wehuzunishwa sana na kauli za mzee huyo.

My take;
Mkapa amemuangusha Magufuli hivi hivi!Nasikitika kua amemponza mwenzake vibaya;

Mimi mtanzania mbona sioni kama nimetukanwa?
 
Mama tatizo kuna watu waima wamejiingiza kwenye chandimu; tunaanza kuwapiga matobo na kanzu wanaanza kulialia wanadhalilishwa
 
KWA KITENDO CHAKO CHA KUTUKANA HADHARANI.

Kati ya watu ambao nilikuwa nawaheshimu katika taifa hili ni pamoja na Benjamin Mkapa lakini sasa SIMHESHIMU KABISA kwa matusi aliyoporomosha jukwaani jangwani.

HASTAHILI HATA KUWA RAIS WA WAJINGA.
 
Niko pamoja na mkapa, ni kweli wapumbavu ...
 
Back
Top Bottom