David Thomas M
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 546
- 137
Wakuu respect a fool to avoid noise majibu atayapata tarehe 25
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mtanzania mbona sioni kama nimetukanwa?
sijawahi kukoment kitu ila ukweli mkapa hapa umekula ukashiba sasa umeamua kukufuru umeamsha hata tuliofunga vinywa vyetu hakika cntatumia hizo kalamu zenu za kichina obama yatosha kuwaliza
nisiisemee nafsi yangu mkuu! Kiukweli mtaani watu wana hasira.
Kila kona ya nchi watu wanajadili matusi aliyoyatoa jana kwenye kampeni, watu wana hasira naye wamesema hawataki kumwona muda wa kampeni na watajua namna ya kumwadhibu yeye na chama chake!
Hapa Mjini Singida kila kona Si kwenye dala dala, boda boda,baa,kawahawa hali si shwari wehuzunishwa sana na kauli za mzee huyo.
My take;
Mkapa amemuangusha Magufuli hivi hivi!Nasikitika kua amemponza mwenzake vibaya;
Una uhakika kuwa nusu ya watanzania wote wako upinzani? Tufanye UKAWA mpo milioni 7, je hii ni nusu ya watanzania milioni 45?Nusu ya watanzania wote wako upinzani!
Kwa tusi hilo amemponza sana Magufuli.Sasa vyombo Vingi vya habari vya ndani na nje ya nchi vinajadili tudi hilo"STUPID"
Hii ndio hasara ya kuwa-gerentii ulaji watu wenye akili ya kimaskini. Mkapa kabebwa sana hadi kavimbiwa. Hana staha wala ustaarabu. Ana asili ya dharau sana kwa binadamu wenzake anaoona wako chini yake kwa kila hali. Hapo ndipo kidogo utamheshimu JK kama mwanasiasa. Ilibidi Magufuli aseme atawatumikia watu wa vyama vyote bila kubagua. Hata kama unaona watu wengine hazitoshi, si busara kutanguliza kauli za aina hiyo tena kwenye uzinduzi wa kampeni katika uchaguzi wenye ushindani mkubwa.
Hujamsikiliza vizuri au umeamka nao.
Udiropoke tu mkuu, unaelewa idadi wanachama wote wa CHADEMA, CUF,NCCR,NLD na vyama Vingine? Wasiokua na vyama idadi yao unaijua? Idadi ya under 18 ambao ni sawa na wajukuu wa Mkapa ambao wamemdharau unaijua?Una uhakika kuwa nusu ya watanzania wote wako upinzani? Tufanye UKAWA mpo milioni 7, je hii ni nusu ya watanzania milioni 45?
sis tusijibu kwa matusi hata tone moja ila tutangaze sera na mipango kiutulivu kabisa kupitia legwanan.Wacha wazidi kuwatukana watanzania hiyo ndiyo itakuwa silaha ya kuwatandika kwenye kampeni. Nilikuwa pia namsubiri makongoro nyerere aharibu kwa kuvua shati kama wangemruhusu kuendelea kuongea mngesikia porojo za mwaka.
Imefikia hawa wale vijana waliozaliwa wakati wa utawala wake wakapewa majina ya MKAPA wanayakana! Hawataki kabisa kusikia wanawalaumu wazazi wao.Mkapa alikuwa sahihi, hapo singida wamekula harage ya wapi haooooooo?