Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha aiseee ni kweli Mkapa anafanana na LordLofa aisee kakosa kofia tu!!
Kama jana kulikuwa na matusi, basi JF sasa hivi imesheeni matusi kuliko ya upumbavu na ulofa! Oktoba mbali wabaki ma GT kama zamani!
Kwani maana ya neno "wapumbavu" ni nini?
Heeeee, Heeee ni tuna masikitiko makubwa kwa kauli ya MATUSI aliyotoa Mh. Rais mstaafu Ben Mkapa jana katika uzinduzi wa kampeni kwa chama tawala (CCM). Alisema wapinzani ni WAPUMBAVU na akarudia ni WAPUMBAVU SANA.
Sasa kwa masharti yaliyotolewa na tume ya uchaguzi ya kutotoa kauli za kuudhi wala kashfa huyu naye mbona alikiuka?
Mzee Mkapa iga mfano kwa Rais mstaafu mwenzio Mzee Mwinyi alivyotoa hotuba ya busara.
Kwa wadhifa wako hukupaswa kutukana kabisa, kwa hapo Mh umekididimiza chama.
Sasa sisi wananchi ni jukumu letu tarehe 25 Octoba,2015 kuondokana na watu wa chama kile kile miaka yoooote toka uhuru ambao hawana lugha nzuri kwa kizazi kijacho.
Jamaaaaaaniii eeeee akili kumkichwa, Oct, 25
Mbona sijakuelewa!
Huwezi kui summarize kwa kiswahili? Alafu hii quotation nimeona umeibandika sehemu nyingi tu humu JF! Hauna nyingine zenye mfano wake?Naomba ni Quote part ya speech ya Major C.A Bach iliyotolewa kwa maofficer wanafunzi katika kambi ya pili ya mafunzo Fort Sheridan wakati wa vita kuu ya kwanza ya dunia,kwaajili tu ya viongozi wa CCM.
"Moral force is the third element in gaining Moral Ascendency.To exert moral force you must live clean; you must have sufficient brain power to see the right and the will to do the right.Be an example to your men! An officer can be a power for good or a power for evil.Don't preach to them~ that will be worse than useless.Live the kind of life you would have them lead, and you will be suprised to see the number that will imitate you.
A loud~mouthed, profane captain who is careless of his personal appearance will have a loud~mouthed,profane ,dirty company .Remember what I tell you .Your company will be the reflection of Yourself."
Lizaboni uko sahihi. Nashangaa UKAWA wanaibuka na hoja nyepesi kuwa Mkapa kawatukana watanzania, sio kweli. Mkapa aliwaambia wote wanaosema wanataka kuikomboa Tanzania wakati imeishakombolewa ndio wapumbavu.
Pia ninachokiona hawa jamaa wameanza kutafuta kuonewa huruma na watanzania kwa kupanda daladala na kufanya vituko vingine. Kiufupi tuwe makini nao.
Hawamzungumzii Magufuli bali viongozi wengine ambao sio wagombea kwakuwa Magufuli hana doa na ni mkweli.
Mgombea wao ataishia kuimba nyimbo za Magufuli tu 'ali serema' hata sauti yake haina hamasa.